Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU (BOT)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: UTALII WA NDANI BADO CHANGAMOTO

Kufuatia suala la utalii wa ndani kuendelea kuzorota katika nchi nyingi za Afrika,baadhi ya asasi binafsi na makampuni ya utalii Tanzania,yameanza kutafuta mikakati ambayo itasaidia kuamsha ari ya raia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIROBI: RAIA WA KENYA WANAOTUMIKIA KIFUNGO 'UGHAIBUNI' KURUDISHWA NYUMBANI

WAKENYA wanaotumikia kifungo katika magereza nje ya mipaka ya nchi, sasa watarudishwa nyumbani endapo mazungumzo kuhusu uwezekano wa uhamisho wa wafungwa baina ya nchi husika itazaa matunda.Mapendekezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUCY KIBAKI ALAZWA ICU

MKE wa Rais wa Awamu ya tatu wa Kenya, Mwai Kibaki, mama Lucy Kibaki, amelazwa katika chumba cha wagonjwa wenye hitaji la uangalizi mkubwa (ICU), akiwa katika hali mbaya, baada ya kukimbizwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: MSOMI KUTOKA TANZANIA KUWANIA TUZO YA SAYANSI

Msomi mmoja kutoka Tanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi wengine walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga barani afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF). Aneth David...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUDAN KUSINI: HALI INAZIDI KUWA MBAYA

Hali ya kibinadamu Sudan Kusini ni mojawapo iliyo mbaya zaidi duniani huku mauaji ya kiholela katika taifa hilo changa, yakisemekana kuangamiza maelfu ya maisha ya watu. Wanaume wanawake na watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI GUMZO: KENYA YAWEKWA KATIKA DARUBINI NA IAAF

Mkutano wa kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF ambayo imekuwa ikikutana mjini Monaco imetangaza kuwa Kenya na Ukraine ni miongoni mwa nchi ambazo zimewekwa katika orodha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: MAGUFULI ATEUA WAKUU 13 WAPYA WA MIKOA

Rais wa Tanzania amewateua wakuu 13 wapya wa mikoa miongoni mwa orodha mpya ya wakuu 26 wa mikoa iliyotangazwa leo na ikulu ya rais.Rais John Pombe Magufuli amewahifadhi wakuu 13 waliohudumu katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: GSM FOUNDATION YAIPIGA JEKI TIMU YA TAIFA YA RIADHA YA TANZANIA

Kocha wa timu ya taifa ya riadha Francis John (kulia) akiwa na wanariadha wanaounda timu ya taifa ya riadha wakitizama msaada wa Track Suit ulitolewa na GSM Foundation kwa ajili ya wanariadha hao. Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTURUKI: MLIPUKO MKUBWA WAUA WATU 27

Kumetokea mlipuko mkubwa katikati ya mji mkuu wa Uturuki, Ankara. Afisa muandamizi wa usalama, anasema kuwa takriban watu 27 wameuwawa na wengine wengi kujeruhiwa. Maafisa wa usalama wanakisia idadi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IVORY COAST: WAVAMIZI WAUA WATU 12 HOTELINI

Watu 12 wamepigwa risasi na kuuawa 4 kati yao watalii katika shambulizi lililoteka muda mfupi uliopita katika hoteli moja ya kifahari nchini Ivory Coast. Msemaji wa polisi anasema kuwa 4 hao ni raia wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE, UMEWAHI KUWAZA MAISHA BILA MITANDAO YA KIJAMII?

Facebook, Snapchat, Instagram, Twitter, Whatsapp - mitandao ya kijamii ambayo yamegubika maisha ya watu katika muongo uliopita lakini matumizi yake yametanda kwa ukubwa kiasi cha kuwa kwa baadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA: ALFRED MUTUA, KALONZO MUSYOKA SASA NI PAKA NA PANYA

Sasa ni dhahiri kuwa Gavana wa Machakos, Alfred Mutua na Kiongozi wa chama cha kidemokrasia cha Wiper, Wiper Democratic Movement, ambaye pia ni mmoja wa vinara wa muungano wa CORD, Kalonzo Musyoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA KIJIWENI: ILI UFANIKIWE ACHA KUFANYA HAYA

1. Acha tabia ya kuahirisha mambo. Kama kuna jambo au kitu unachotakiwa kukifanya leoleo ni vizuri ukafanya kuliko kukiacha na kutegemea utafanya kesho. Wakati wa kubadili maisha yako upo sasa na wala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RWANDA: KAGAME KAMA MAGUFULI

Rais wa Rwanda Paul Kagame amelaumu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutumia pesa ‘kiholela’ kutokana na mawaziri kufanya ziara za mara kwa mara kuhudhuria mikutano. Amesema mawaziri wa nchi yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYACHECK: NJIA SAHIHI YA KUACHA SIGARA

Utafiti wa karibuni zaidi umeonesha kwamba njia bora zaidi ya kuacha uraibu wa kuvuta sigara ni kuacha mara moja. Utafiti ambao matokeo yake yamechapishwa katika jarida la kimatibabu la Annals of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fastjet yaongeza safari Dar es Salaam – Nairobi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI                 Dar es Salaam, Machi 15, 2016– Shirika la ndege la gharama nafuu Afrika, Fastjet Tanzania limeongeza idadi ya safari zake  kwenye njia yake ya Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALIMWENGU: Hili Ndio Jumba La kifahari La WizKid Huko Los Angeles,...

Mitandao ya kijamii nchini Nigeria imelipuka baada ya picha za nyumba ya WizKid iliyopo Marekani kusamba. Nyumba hii ipo mjini Los Angeles, California nchini Marekani wanapoishi asilimia tisini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA: RAIS KENYATTA AIANGUKIA CORD; AITAKA IACHE UBINAFSI WA KISIASA

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, ameitaka chama kikuu cha upinzani, muungano wa CORD, kuachana na siasa za ubinafsi yenye mrengo wa kujipendelea. Akizungumza na mamia ya wakazi wa Eldama Ravine, siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRIKA MASHARIKI: HATMA YA WAKENYA WALIOFUNGWA NCHINI TANZANIA KUJULIKANA...

MAHAKAMA ya Afrika inayoshughulikia haki za binadamu, iliyoko jijini Arusha, nchini Tanzania inatarajiwa kutoa hukumu yake kuhusu hatma ya Wakenya 10 ambao wameistaki serikali ya Tanzania. wakidai...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live