SAA ZENYE UWEZO WA KUIBIA MITIHANI ZABUNIWA!
KUA UYAONE! nchini Kenya utasikia neno la "Mwakenya" kwenye vyumba vya kufanyia mitihani. hizi ni karatasi yaliyoandikwa majibu kwa lengo la kuiba mitihani, wakati mwingine pia wanafunzi huandika...
View ArticleTANZANIA: MKUU WA MAJESHI NCHINI TANZANIA, AWAAGA MAOFISA 16 WA JWTZ...
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas...
View ArticleKENYA: WAFUASI WA JUBILEE NA KANU WAGOMBEA ENEO LA KAMPENI, UCHAGUZI MDOGO WA...
WAFUASI wa vyama vinavyokinzana vikali kwenye uchaguzi mdogo wa kiti cha Senate katika Kaunti ya Kericho, chama cha Kenya National Union (KANU) na chama tawala cha Jubilee vimejikuta vikigombea eneo la...
View ArticleTANZANIA: RAIS DKT. MAGUFULI AMEMTEUA BALOZI KIJAZI KUCHUKUA NAFASI YA BALOZI...
Habari zilizotufikia hivi punde, zinasema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Balozi Mhandisi John William Kijazi (pichani) kuwa Katibu mkuu Kiongozi wa...
View ArticleMICHEZO: KIKOSI CHA DHAHABU CHA UFARANSA KINACHOTESA KWENYE UKOCHA
Zinedine Zidane, Thiery Henry, Masseile Desailly na Patrick VieiraKATIKA Dimba la Stade de France, mechi ya fainali ya Kombe la Dunia, "Samba Boys" walikula 3-0 mbele ya mafundi hawa wa Ufaransa,...
View ArticleCHINA: WATU 300,000 WAADHIBIWA KWA UFISADI
Rais wa China, Xi Jin PingChama tawala cha Kikomunisti nchini Uchina kimesema maafisa karibu 300,000 wa chama hicho waliadhibiwa mwaka jana kwa tuhuma za ufisadi. Maafisa 200,000 walipewa kilichodaiwa...
View ArticleAFRIKA KUSINI: MATAMSHI MABAYA DHIDI YA WANAWAKE YAMPONZA RAIS ZUMA
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ameshtumiwa kwa kutoa matamshi yanayowabagua wanawake kijinsia.Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini kinadai kuwa Zuma aliwadhalilisha waandishi wanawake juma...
View ArticleISRAEL: WATAALAMU WA KUKUZA BANGI WAKUTANA
Wataalamu wanaohusika na matumizi ya bangi kama dawa wanakutana Israel kujadili uvumbuzi zaidi katika kilichokuwa sekta yenye thamani ya mabilioni ya dola duniani. Hayo ndiyo maazimio ya Canna-Tech...
View ArticleUJERUMANI: KASISI MWEUSI AJIUZULU AKIHOFIA MAISHA YAKE
Kasisi mkatoliki mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kati DRC amelazimika kujiuzulu kazi yake nchini Ujerumani baada ya kutishiwa maisha.Kasisi Olivier Ndjimbi-Tshiende, 66, aliwaambia waumini katika...
View ArticleSOMALIA: MAREKANI IMEWAUA AL SHABAAB 150
Zaidi ya wapiganaji 150 wa Al-Shabab wameuawa kufuatia shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani katika maficho yao nchini Somalia. Taarifa kutoka makao makuu ya usalama ya Pentagon...
View ArticleSOMALIA: AUSTRALIA YANASA SHEHENA YA SILAHA KATIKA PWANI YA OMAN
Jeshi la wanamaji wa Australia limekamata boti moja katika pwani ya Oman ambayo haikujulikana inakotoka. Ilisemekana ni boti la uvuvi lakini walipofanya upekuzi, wakagundua shehena kubwa ya silaha...
View ArticleMICHEZO: FRANK NUTTAL AIHAMA GOR MAHIA.
KOCHA Mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Kenya (KPL), Mskochi, Frank Nuttal, ameigura klabu hiyo ambapo taarifa za awali zinasema kuwa, Kocha huyo, amehamia Zamalek ya Egypt.Nuttal ameondoka...
View ArticleKENYA: KERICHO NA MALINDI WAAMUA, KATIKA UCHAGUZI MDOGO
Mgombea wa Jubillee, Aaron Cheruiyot, ameibuka mshindi wa kiti cha senate, katika uchaguzi mdogo, kwenye kaunti ya Kericho iliyofanyika jana, akijizolea jumla ya kura 109,358 dhidi ya mpinzani wake wa...
View ArticleMAREKANI: MWANAHABARI AZAWADIWA DOLA MILIONI 55 NA MAHAKAMA
Mwanahabari wa michezo nchini Marekani Erin Andrews amezawadiwa dola milioni 55 baada ya kurekodiwa akiwa uchi na mtu aliyekuwa akimfuatilia mienendo yake.Baada ya siku moja ya majadiliano,baraza la...
View ArticleUGANDA: OFISI ZA MAWAKILI WA MBAMBAZI ZAVAMIWA
Ofisi mbili za mawakili wanaomuakilisha aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda, Amama Mbabazi katika kesi yake kupinga ushindi wa rais Yoweri Museveni katika uchaguzi uliomalizika zimevamiwa na watu...
View ArticleTANZANIA: WIZARA YA UJENZI YAPIGA MARUFUKU "KUCHATI" SAA ZA KAZI
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewapiga marufuku wafanyakazi wake ''Kuchati'' katika mitandao ya kijamii kwa kutumia simu katika muda wa saa za kazi.Waziri wa Wizara hiyo...
View ArticleKENYA: WANAFUNZI WAANDAMANA CHUO KIKUU CHA JKUAT
Habar zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Wanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT wanaandamana wakilalamikia kifo cha mwanafunzi mmoja wa kiume anayedaiwa kupoteza maisha baada ya kula chakula chenye sumu...
View ArticleTANZANIA: Bagamoyo wapokea vizuri mradi wa viwanja vya Bayport
Meneja wa Bayport wilayani Bagamoyo, Francis Ndunguru, akizungumza na waandishi wa Habari walipotembelea mradi wa viwanja vya mikopo vinavyotolewa na taasisi yao, katika eneo la Kimara Ng'ombe,...
View ArticleSOMALIA: TEMBO ARUDI NYUMBANI BAADA YA MIAKA 20
Ndovu mmoja kwa jina Morgan amefanikiwa kuvuka mpaka na kuingia nchini Somalia mwezi huu, na kuwa mara ya kwanza ndovu huyo kuonekana nchini humo tangu miaka 20 iliyopita.Ndovu huyo kwa jina Morgan...
View ArticleKENYA: MCHORA KATUNI 'GADO' KUMSHITAKI BOSI WAKE
Mchoraji vibonzo wa Kenya Godfrey Mwapembwa ,aka Gado ameiambia BBC kwamba atalishtaki gazeti la The daily Nation nchini Kenya kuhusu kile alichokitaja kuwa kusimamishwa kwa kandarasi yake kinyume cha...
View Article