Habar zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Wanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT wanaandamana wakilalamikia kifo cha mwanafunzi mmoja wa kiume anayedaiwa kupoteza maisha baada ya kula chakula chenye sumu (Food Poisoning).

Tutaendelea kuwajuza kadri habari zaidi zitakavyotufikia