Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENE WENGER AJITETEA BAADA YA KICHAPO CHA BARCELONA

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaamini vijana wake walicheza vyema uwanjani Nou Camp licha ya kulazwa 3-1 na Barcelona Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Arsenal walilazwa kupitia mabao ya Neymar, Luis...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI: DONALD TRUMP AKIWA RAIS DUNIA HAITOKUWA SALAMA

Shirika moja la kimataifa limesema ushindi wa Donald Trump unachukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 kuu zaidi zinazokabili dunia. Shirika hilo la Economist Intelligence Unit linaonya kuwa iwapo Bw...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA: WANANCHI WALALAMIKA KUONGEZEKA KWA UFISADI

Utafiti Uliofanywa na taasisi ya serikali ya kupambana na rushwa nchini Kenya, inaonyesha kuwa nusu ya raia nchini humo wanaamini kuna ongezeko la matukio ya rushwa katika kipindi cha utawala wa rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARUSHA: Raia wa Kenya waishitaki Tanzania

Raia kumi wa Kenya wameituhumu Serikali ya Tanzania, kwa kuwateka jijini Maputo nchini Msumbiji Januari 2006, ambako walikuwa wakiishi kihalali wakitafuta fursa za biashara, na kisha kuwapakiza kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI GUMZO: KUTANA NA MSICHANA ANAYETOKA DAMU MACHONI

Huyu ni Marnie-Rae Harvey ambaye hutokwa na damu machoni lakini madaktari hawaelewi chanzo chake ni nini. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 anasema kuwa hawezi kutoka nje na hana marafiki kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR: KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMAPILI, WANAHABARI WATIWA KASHIKASHI

HALI ya kisiasa visiwani Zanzibar imezidi kuwa tete baada ya vyama viwili vyenye wanachama na wafuasi wengi kutangaza kutovumiliana. Vyama hivyo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PREZZO AANIKA 'HIV STATUS' YAKE INSTAGRAM

KUFUATIA uvumi wa muda mrefu kwamba, Rapa Prezzo, raia wa Kenya ameathirika na virusi vya gonjwa hatari la Ukimwi, hatimaye msanii huyo ameibuka na kuvunja ukimya kwa kuanika 'Status' yake.Uvumi kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND APANGA 'KUMDUNGA' ZARI MIMBA NYINGINE.

MKALI wa Afro Pop, Afrika Mashariki, Diamond Platnumz kutoka Bongo, ambaye nyota yake imekuwa ikishine kwa miaka 7 mfululizo, ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba nyingine malkia wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WASIPOJIFUNZA KWA CHID BENZ NDIO BASI TENA.!

By Malisa GJ.! [truncated by WhatsApp]Sikutaka kuandika chochote leo kwny ukurasa huu baada ya kudedicate kwa mwanadada mtanzania aliyebuni sofware yake Leah-Buzuka. Lakini nimelazimika kuandika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE! MWANDISHI WA DW ALIYEPOTEA APATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwakilishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle visiwani Zanzibar anayeiandikia Gazeti la Mwananchi linalomilikiwa na Kampuni ya Mwananchi Communication, Salma Said, ambaye alikuwa ametoweka kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAMBEE STARS PIGA HAO! WAKENYA TWENDE KAZI!

Kesho kuanzia majira ya saa moja jioni, kwenye uwanja wa Estadio Natinal 24 de Satembro, mjini Bissau, timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, watakuwa kibaruani, katika mchezo wa raundi ya kwanza,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KENYATTA NA MUSEVENI WASHINDWA KUFIKIA MWAFAKA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA...

Rais Uhuru Muigai Kenyatta wa Kenya na mwenzake Yoweri Kaguta Museni wa Uganda sasa watalazimika kukutana tena wiki mbili zijazo, kwa ajili ya mazungumzo kuhusu uwezekano wa kupitisha bomba la mafuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: MABALOZI WAKOSOA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani wamekosoa uchaguzi wa marudio uliofanyika visiwani Zanzibar Jumapili. Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Ali Mohammed Shein ametangazwa mshindi wa uchaguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI: ELIMU HUNUFAISHA HADI WAHALIFU

Wasomi ambao wamegeukia wizi kama njia ya kujichumia riziki hupata fedha nyingi kuwazidi wezi ambao sio wasomi. Utafiti uliofanya na chuo kikuu cha Essex nchini Uingereza kwa ushirikiano na kile cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: Bayport yakabidhi hati za viwanja vya Vikuruti

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo imekabidhi hati za viwanja vya Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani kwa baadhi ya wateja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA:Wakimbizi Kigoma waadhimisha Siku ya Maji Duniani

Jana wakimbizi kutoka katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma waliungana na watu wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maji safi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: TIGO YATOA MILIONI 300 KUDHAMINI WANAFUNZI WA TEHAMA VYUO VIKUU NCHINI

KAMPUNI ya Simu ya Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) leo wametangaza kudhamini wanafunzi tisa wanaochukua mafunzo ya Tehama katika vyuo vikuu vya hapa kwa jumla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHOLANZI WAWILI WAKAMATWA NA TUMBILI 61, KATIKA UWANJA WA NDEGE, NCHINI...

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishna Msaidizi wa Polisi,Wilbroad Mutafungwa akiwa ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na wanahabari. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUVU YA MITANDAO: MKENYA ALIYEJIPACHIKA KATIKA PICHA ZA WENGINE (PHOTOSHOP)

Mwanamke mmoja kutoka Kenya amejiweka katika msururu wa picha za likizo za watu wengine katika mtandao wake wa facebook. Baada ya kushindwa kuwa na uwezo wa kusafiri kwenda barani Asia,Sevelyn Gat...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPA WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kipa nambari moja wa timu ya Simba na Uganda Abel Dhaira ameaga dunia. Dhaira mwenye umri wa miaka 28 alikuwa anaugua saratani. Dr. Bernard Ogwel, wa shirikisho la soka nchini Uganda FUFA...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live