Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

TANZANIA: GSM FOUNDATION YAIPIGA JEKI TIMU YA TAIFA YA RIADHA YA TANZANIA

$
0
0
Kocha wa timu ya taifa ya riadha Francis John (kulia) akiwa na wanariadha wanaounda timu ya taifa ya riadha wakitizama msaada wa Track Suit ulitolewa na GSM Foundation kwa ajili ya wanariadha hao.
Rais wa Shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akitizama msaada wa track suit zilizotolewa na kampuni ya GSM Foundation.
Rais wa Shirikisho la riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akikabidhi msaada wa track Suit zilizotolewa na GSM Foundation.
Wanariadha wanaounda timu ya taifa wakichagua Track suit zilizotolewa na kampuni ya GSM Foundation .
Wanariadha wanaounda timu ya taifa ,wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka pamoja na kocha wao Francis John.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles