Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAJUMA KUWAKUTANISHALINEX NA AUNTY EZEKIEL

Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA SONGEA VIJIJINI, PERAMIHO

"Hii Chijenje nayo ikusaidie kuwavyeka wapinzania",  Kiongozi wa Kijadi,  Julius Ndiwu akisema, wakati akimkabidhi zana ainayojulikana kwa jina la 'Chichenje' baada ya kumvisha mgolole na kumpatia zana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA BINGA, NOV 20 2013

Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto), baada ya Kinana kuwakabidhi kadi katika kikao kilichofanyika nyumbani kwa balozi Hilda, Kaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWATHIRIKA WA UBAKAJI AKAMATWA SOMALIA

Sio mara ya kwanza kwa mwathiriwa wa ubakaji kukamatwa baada ya kusimulia yaliomkumba Somalia.Msichana mmoja amekamatwa mjini Mogadishu Somalia, baada ya kusimulia kituo kimoja cha redio nchini humo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

P SQUARE WADONDOKA DAR "PERSONALLY" LEO:KUTIKISA LEADERS KESHO

Wanamuziki wanaotajwa kuwa na mvuto zaidi barani Afrika, P Square, wamewasili usiku huu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere  kwa ajili ya onesho lao linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NA MSAFARA WAKE WAPANDA MV SONGEA KUTOKA MBAMBA BAY KWENDA KYELA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, asubuhi hii amemaliza ziara yake katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na kuanza safari ya kwenda Kyela ambako ataanza ziara katika mkoa wa Mbeya. Pichani, Kinana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YOTE YA KINANA, NYASA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia mtumbwi kutoka Kijiji cha Lipingu, mkoani Njombe, kurudi Kijiji cha Lipingu, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, alipokwenda kupata kusikiliza kero za wakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE, MAKAMBA, TIDO, MWAKALEBELA, MANJI, BAKHRESA, ZENA CHANDE, PINTO...

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametangaza wajumbe wa kamati ndogongo (standing committees) wakati zile za haki (judicial organs) na uchaguzi zitaundwa baadaye.JAMAL...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMUAGIZA RAGE KUITISHA MKUTANO SIMBA

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage ameagizwa kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura wa klabu ndani ya siku 14 kuanzia sasa.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa agizo hilo baada ya kubaini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIONS CLUB YAKABIDHI KOMPYUTA 2 NA CHEREHANI 20 KATIKA SHULE YA MSINGI RAU NA...

Gavava wa Lions Club, katika nchi ya Tanzania na Uganda, Wilson Desanjo, akijimuika katika picha ya pamoja na viongozi wa Shule, Wanafunzi wa shule ya msingi ya Rau, pamoja na viongozi wa Klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA MAHAFALI YA 14 KIDATO CHA NNE, SHULE YA SEKONDARI PASUA

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yaoWahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGNESS MASOGANGE AACHIA TENA PICHA ZAKUONESHA "INYE" YAKE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI KYELA KWA MELI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiri (kulia), wakishuka kutoka katika mv Songea, baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA KAMPALA AFURUMUSHWA OFISINI

Meya wa mji mkuu wa Uganda, Kampala, ameondolewa ofisini na madiwani baada ya jopo maalum kumpata na hatia ya matumizi mabaya ya mamlaka yake pamoja na kutokuwa na ujuzi wa kutosha kwa kazi yake ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAMFAHAMU MUUAJI WA BORUSSIA DORTMUND-Pierre Emerick Aubameyang?

Akiwa mchezaji wa zamani wa timu ya vijana ya AC MILAN, soka la Pierre Emerick Aubameyang lilianza kuchomoza baada ya kujiunga na klabu ya Saint Etienne kwa mkataba wa kudumu mnamo mwaka 2011.Lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IRAN WASHANGILIA MKATABA KUHUSU NYUKLIA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad ZarifUmati mkubwa wa watu nchini Iran ulikusanyika kuwapokea wajumbe walioshiriki mazungumzo yaliyofanikisha kupatikana kwa mkataba wa nyuklia kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMKE ALIYEPIGWA RISASI DAR

 Baadhi ya waombolezaji.Aliyekuwa mfanyakazi wa  Benki ya Barclays, Alpha Alfred Newa aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel Munisi Novemba 19 Ilala Bungoni amezikwa leo katika shamba la familia huko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE PRODUCER ALIYEFUKUZWA NA WEMA SEPETU

Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa mwanadada Wema Sepetu ameamua kumtimua  aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MKESHA WA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TANGU KIFO...

Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMAL NI ZAIDI YA MISUKOSUKO NANI ANABISHA?

Baada ya kilele cha mafanikio katika mchezo wa ndodi za kulipwa JAMAL anajiingiza katika maisha ya anasa nakusahau familia yake. Pindi familia yake ilipoondoka na kwenda mbali, yey ndipo alipoanza...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live