Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NDANI YA RUNGWE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimsaidia kupasua ubao fundi, John Mwandosya ( watatu), aliposhiriki ujenzi wa vyumbavya maabara katika shule ya sekondari Mwakaleli, wilayani Rungwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA UTULIVU YAREJEA KATIKA JIMBO LA TURKANA-KENYA

Jamii za Pokot na Turkana zimekua zikizozania maliasili kwa manufaa ya mifugo wao Polisi nchini Kenya wamesema kua hali ya utulivu imerejea katika kijiji kilichokuwa kimezingirwa na wavamizi kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA MWANANCHI LAJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA HANDENI

Na Mwandishi Wetu, Handeni  KAMPUNI ya Mwananchi Communication Ltd (MCL), imejitokeza kudhamini Tamasha la Utamaduni wilayani Handeni mkoani Tanga, linalotarajiwa kufanyika Desemba 14 katika Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI WILAYANI ILEJE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipita katika daraja la mto Songwe,  kutoka upande wa Isongole, Ileja mkoani Mbeya, kwenda Ibilima, Wilaya ya Chitipa upande wa Malawi, alipofika wilayani humo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASSIM MAPILI KUONGOZA WAKONGWE WENZAKE KATIKA TAMASHA LA GURUMO DESEMBA 14...

MKONGWE wa muziki wa dansi Kassim Mapili amethibisha kushiriki Tamasha la Gurumo 53 litakalofanyika Jumamosi ya tarehe 14 mwezi Disemba mwaka huu.Mapili amesema si yeye tu, bali pia ataratibu mpango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAFANYA KUFURU TUNDUMA, MAELFU WAJITOKEZA, NAPE ABEBWA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutumia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaka, mjini Tunduma, wilayani Momba, jioni hii, Nov 28, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA NI BONGE LA MWANAMITIND, NANI ANABISHA???

 Juu na chini ni twasira mbalimballi za mlimbwende wa kimataifa Flaviana Matata katika matukio mbalimbali

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YA KINANA YAMSOMBA KATIBU WA CHADEMA CHUNYA

Bryson Mwasimba aliyekuwa Katibu wa CHADEMA wilaya ya Chunya, akionbyesha kadi yake ya chama hicho, kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), katika mkutano wa hadhara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKUTANO, SHUGHULI ZA KINANA CHUNYA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipandisha bendera kuzindua shina la wajasiriamali wa CCM, katika kituo cha mabasi cha mjini Chunya, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya chama,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKAGUA UJENZI BARABARA YA MBY-CHUNYAKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akikagua ujenzi wa barabara ya lami ya eneo la kilometa 30 kutoka Mbeya hadi Chunya, wakati msafara wake ulipopita katika barabara hiyo ukienda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TABU LEY "PASCAL ROCHEREAU "AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki wa Kikongo wa siku nyingi Pascal Rochereau Tabu Ley amefariki dunia jana Novemba 30, 2013 akiwa na umri wa miaka 73.Msanii maarufu kama Baba wa Rhumba, Raia wa nchi ya Demokrasia ya Kongo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAUME HANDENI WAMETAKIWA KUCHEKI AFYA

Na Kambi Mbwana, HandeniWANAUME wametakiwa kujenga tabia ya kucheki afya zao badala ya kuwaachia akina mama peke yao, ikiwa ni njia ya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi uliozimishwa leo Dunia nzima, huku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NDANI YA MAKONGOLOSI-MBEYA

KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kati) na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha_rose Migiro, katika ujenzi soko la Kata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAYA TOURE NDIYE MCHEZAJI BORA AFRIKA

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Hatimae kile kinyang’anyiro cha mwanasoka bora wa Bbc kimemalizika,Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure ameibuka mshindi wa tuzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AFUNIKA RUJEWA

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOKO HARAM WASHAMBULIA NGOME YA JESHI KASKAZINI MASHARIKI MWA NIGERIA

Wapiganaji wa Boko HaramWapiganaji wa Boko Haram wameshambulia ngome ya kikosi cha anga cha Jeshi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na kuharibu helkopta mbili maafisa wa serikali wamesema. Mashuhuda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASIKINI MANDELA!!!...SASA HAWEZI KUZUNGUMZA

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson MandelaRais wa kwanza mwaafrika wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anaendelea kupambana na ugonjwa akiwa bado kitandani, binti yake Makaziwe Mandela amesema.Bi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU MMOJA APATA AJALI KILIMANJARO NA KUSAGIKA MGUU

MZEE huyu wa jamii ya kabila la wamasai aliyetambulika kwa jina la ''Tulito'' Mkaazi wa KIA njia panda ya kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot, Leo mda mfupi uliopita amepata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAITEKA MBEYA MJINI, CHADEMA WANYWEA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni Maelfu ya wananchi wakaiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live