Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kupokea zawadi mbalimbali jana. |

Muda wa Yanga kufanya yao uliwadia wakafanya kama walivyoagizwa na kocha wao...chezea Yanga wewe!!!! |
Basi walimu wao walifurahi kweli kweli...raha ufundishe wafundishike |
hawa nao hawakuachwa nyuma hii ndio raha bhanaaaa! |
msemaji wa Hovyo...MC... Akafanye yake basi yakawa ni raha tupu!! |
Fashion Show si ikafuata...masharabaro utawajua tu na mambao hii ndiyo Pasua Sekondari, karibu upate haya na mengine katika maisha ya Skonga! |
Walimbwende "In Making" hapa utawapata akina Miriam Odemba wengi tu.. usipime kabisa |
Kwa mwendo wa Madaha... ado ado mpaka yule na yule chezea wanafunzi wa Pasua Sekondari weye |
Hapa sasa ndipo utamu unaponoga sasa...baada ya ma "cut walking" ya nguvu sasa tunajipanga kama wana wa Pasua Sekondari ni mambo ya Talent na Fashion Show mwendo mdundo |
Walimu wao katika swala zima la Fashion Show na mitindo hawa hapa, cheki bonge la Cut walking tunakanyaga staili ya Nyau chezea! |
Enheee sasa tunapozi kwa ajili ya Mauzo...kitu cha picha ya kumbukumbu kwenye Noticeboard ya Shule |
Hapa Rose Muhando Lazima Akae tu subiri tunamaliza tunakuja huko mitaani mtatukoma tu |
Muda wa kumpokea Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ukawadia, kushoto ni Mkuu wa shule Pastory Gurto. |
Ofisini kwa Mwalimu Mkuu ikafuata |
Karibu Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay |
Muda wa Utambulisho kwa Mgeni Rasmi kutoka kwa Mkuu wa shule, Pastory Gurto ndio huu. |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya msingi ya pasua wakiwa katika majoho yao |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya msingi ya pasua wakiwa katika majoho yao |
Mamajusi Kwaya wakafanya yao |
Risala ya Wahitimu kutoka kwa kaka mkuu, Aniseth Munisi ikafuata |
Aaah Babu...hapo ni wanaume kutoka Mamajusi kwaya wakimtukuza Mungu kwa wimbo wa Injili |
Risala ya Shule ilisomwa na Mkuu wa shule mwenyewe |
Hotuba ya Hekima kutoka kwa Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ikaendelea kupamba tukio |
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine |
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine |
Sehemu ya Ndugu Jamaa na Marafiki waliofika katika Mahafali ya 14 ya kidato cha 4 shule ya Sekondary Pasua |