BREAKING NEWS: DKT SENGONDO MVUNGI HATUNAYE TENA!!
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kutoka katika Hospitali ya Milpark ya Afrika Kusini zinaripoti kwa masikitiko makubwa kuwa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi...
View ArticleMSAFARA WA RAIS KIKWETE WAPATA AJALI GEITA NA KUJERUHI WATU 5 WAKIWEMO...
Msafara wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete mkoani Geita, leo umeingia dosari baada ya gari moja lilokuwa kwenye msafara huo kupinduka na kujeruhi watu watano.Gari la Bohari...
View ArticleZIARA ZA KINANA MIKONI ZAZAA MATUNDA
NA BASHIR NKOROMOCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ziara ambazo zimekuwa zikifanywa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, zimeanza kuzaa matunda hasa upande wa utatuzi wa kero zinazowakabili...
View ArticleJESHI LA POLISI KILIMANJARO LlNAMSHIKILIA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 20 KWA...
Na Paul william, MoshiJeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limewakamata watu watatu kwa kosa la kufanya kitendo cha kinyama cha kulawiti mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari...
View ArticleNANI KUIBUKA MWANASOKA BORA ZAIDI AFRICA?
Fursa ni yako kumchangua mwanasoka unayedhani ni nyota zaidi barani Afrika kati ya hawa watanoMajina ya wanaowania taji la BBC la mchezaji bora zaidi barani Afrika mwaka wa 2013 yametangazwa rasmi hii...
View ArticleKINANA ATUA MTWARA ASUBUHI HII
*NI MAANDALIZI YA KUANZA ZIARA YA SIKU 22 KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MBEYA*LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MSASI.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasilimia baadhi...
View ArticleKINANA, NAPE NA DK. MIGIRO WAWASILI TANDAHIMBA NA MASASI
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dj. Asha-Rose Migiro naKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiungana na wananchi kutembea kwa mguu katika barabara ya Mtwara Masasi, ambayo...
View ArticleDKT. BILAL, WAZIRI MKUU PINDA WAONGOZA KUAGA MWILI WA DKT.SENGONDO MVUNGI...
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuagwa Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa Mashada ya maua na picha...
View ArticleWacheza kikapu Tanga waomba msaada kuipeleka timu Mbeya.
 Na mwandishi wetu Mabingwa watetezi wa michuano ya taifa ya kikapu (Taifa Cup) kwa mwaka jana, bado hawajathibitisha ushiriki wao katika michuano ya mwaka huu kutokana na ukata wa fedha. Kwa mujibu wa...
View ArticleMKURUGENZI WA TANAPA AKUTANA NA WAONGOZA WATALII KILIMANJARO
Mkurugenzi mkuuwa shirika la hifadhi za taifa (KINAPA) Allan Kijazi akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha  waongoza watalii uliofanyika katika ukumbi wa YMCA.Makamu mwenyekiti wa chama cha...
View ArticleTANAPA KWA KUSHIRIKIANA NA MWEKA WILDLIFE WANAFIKIRIA KUBALISHA MTAALA WA...
ALLAN KIJAZISHIRIKA la hifadhi za Taifa(TANAPA) kwa kushirikiana na chuo cha uhifadhi na usimamizi wa wanyapori Mweka,wanafanya utafiti ili kupata mitaala ya kufundishia waongozaji watalii katika...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA TUNDURU KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero...
View ArticleCHUO CHA POLISI MOSHI MABINGWA JUDO
Na Mwandishi wetuKLABU ya Mchezo wa Judo chuo cha taaluma ya polisi Moshi (MPA) imefanikiwa kuchukua ubingwa wa jumla katika mashindano ya kwanza ya mchezo huo yaliyofahamika kama First Moshi Polisi...
View ArticleFOMU ZA UHURU MARATHON KUPATIKANA KATIKA KLABU YA HYAC MOSHI IJUMAA IJAYO
Na Fadhili Athumani, MoshiKLABU ya vijana ya mchezo wa Riadha ya Holili (HYAC), imetuliwa kuwa kituo cha kutoa fomu za ushirki wa mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika kuanzia Desemba 8 mwaka huu...
View ArticleMAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA SONGEA
KATIBUMkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Novemba 18, kwenye Uwanja wa Soko jipya, Mjini Songea mkoani Ruvuma. Kinana yupo katika...
View ArticleKINANA ALIPOWASILI SONGEA JANA, NOV 18,
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ukipita jana, Nov 18, 2013, katika 'mkeka' wa barabara, ulipokuwa ukitoka Namtumbo kwenda Songea, Kinana akiwa katika ziara mkoani Ruvuma, kukagua...
View ArticleKINANA AKUTANA NA WASOMI SONGEA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza, katika mkutano wake na wanachama wa CCM kutoka Vyuo vya elimu ya Juu, leo usiku mjini Songea. Pamoja ana mambo mbalimbali , Kinana amewataka wasomi...
View ArticleHIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MTOTO BEATRICE MROKI AKIPATA KIPAIMARA KANISA LA KKKT...
Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleUN KUCHUNGUZA WAKIMBIZI WA DABAAB
Wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini KenyaUmoja wa Mataifa unajiandaa kuanza utafiti kwenye kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Dadaab iliyopo Kaskazini mwa Kenya ili kujua wakimbizi karibu nusu...
View Article