Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA SONGEA

$
0
0
KATIBUMkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Novemba 18, kwenye Uwanja wa Soko jipya, Mjini Songea mkoani Ruvuma. Kinana yupo katika ziara ya mkoa huo na Mbeya, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzipatia ufumbuzi. (Picha na Bashir Nkoromo).

KATIBUMkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Novemba 18, kwenye Uwanja wa Soko jipya, Mjini Songea mkoani Ruvuma. Kinana yupo katika ziara ya mkoa huo na Mbeya, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzipatia ufumbuzi. (Picha na Bashir Nkoromo).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles