Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM SAME YAMSIMIKA KAIRUKI KUWA KAMANDA WAO

Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM  Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa  Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.Katibu mkuu wa umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WAKUZA UKE KATIKA MAABARA KWA MARA YA KWANZA

Madaktari nchini Marekani wamefanikiwa kuwatengezea wanawake wanne sehemu ya uke kwa njia ya kisayansi.Ni mara ya kwanza kwa uke wa mwanamke kukuzwa katika maabar.Walitumia mfano wa seli ya uke na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI MCHEZO WA YANGA NA PANONE FC YA KILIMANJARO

Mgeni rasmi katika pambano hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa Yanga mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.Baadhi ya viongozi wa Yanga walimkumbuka Gama wakati huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MCHEZO WA YANGA NA PANONE FC

Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba.Maelfu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPINDUZI MAKUBWA YAFANYIKA KATIKA BIASHARA YA MTANDAO TANZANIA

Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia  kupitia mtandao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

African Society for Laboratory Medicine (ASLM) Announces 2nd International...

PRESS RELEASEASLM2014 will be held in Cape Town, South Africa, on 30 November - 4 December 2014 ADDIS ABABA, Ethiopia, April 17, 2014/ -- The importance of laboratory research and quality diagnostics...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Orange celebrates the 10 millionth Orange Money customer

PRESS RELEASEOrange Money is now available in 13 countries, including Botswana, Kenya, Uganda, Mauritius, and Egypt (under the name Mobicash) DAKAR, Sénégal, April 17, 2014/ -- Stéphane Richard,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUFUNGUA KONGAMANO...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO

 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALPHONCE FELIX NA JACKLINE SAKILU WASHINDI WA TIGO NGORONGORO MARATHON

Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE ASEMA ALIYENIPA MZIGO WA 'UNGA' ALIVAA KININJA

‘Video queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’.‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SITTA AFUNGA SAFARI HADI ZANZIBAR KUIFUATA UKAWA

  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akimpatia taarifa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Dk Ali Mohammed Shein juu ya mwenendo Bunge hilo na ulipofikia alipomtembelea Ikulu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITAMBI NOMA BIGWA BONANZA LA PASAKA ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwa anasalimiana na wachezaji wa timu   Mango Garden ya jijini Dar es salaam wakati walivyokuja kushiriki bonanza la kitambi noma lililofanyika katika kiwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO.

Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete.Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNYAMA WA KUTISHA TABORA, MWANAMKE APIGWA KISU CHA MGONGONI ...KISA ADAIWA...

Mariamu baada ya kupata msaada kwa wasamalia wema waliomdhibiti Mwanamke aliyefanya unyama huo,alilazimika kukimbizwa Kituo Kikubwa cha Polisi Tabora,...Mariam akiwa hoi taabani huku damu ikiendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MSUYA AJITOA KATIKA SIASA; JK AMPONGEZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA MAGARI YAKIPISHA MSAFARA WA RAIS KIKWETE...

Hai.ZAIDI ya abiria 40 waliokuwa katika basi la Urio linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Arusha na Lushoto-Tanga wamejeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kupinduka wakati likijaribu kukwepa basi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA UMOJA WA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA KUTUNGA...

Mwenyekiti wa Umoja Asasi za Kiraia, Bw. Irenei Kiria akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Tathimini zilizofanywa na asasi za kiraia kuhusu mwenendo wa mchakato wa...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live