Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba. |
Maelfu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano hilo. |
Basi la Yanga likiwasili katika uwanja wa Ushirika . |
Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluym akishuka kwenye basi. |
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akiingia uwanjani hapo. |
Golipkipa wa timu ya Yanga Deogratius Munishi'Dida'akishuka toka kwenye basi lao. |
Mchezaji Nizar Khalfan akishuka. |
Mchezaji Didier Kavumbagu. |
Mbuyi Twite pia akashuka toka kweney basi. |
Canavaro na Kelvin Yondani nao wakateremka. |
Mchezaji Reliant Lusajo akashuka na kumkumbuka afande Pattie wakapeana kono. |
Nizar Khalifan. |
Akashuka Chumvi,Frank Domayo. |
Baadae Jerryson Tegete. |
Kisha winga machachari Mrisho Ngasa. |
Mshabiki wakaomba angalau wapate kumbukumbu katika simu zao. |
Benchi la ufundi la timu ya Panone fc likiongozwa na kocha Atuga Manyundo. |
Benchi la ufundi la timu ya Yanga likiongozwa na kocha Hans van der plujim na Boniface Mkwasa(Master). |
Wachezaji wa Panone fc. |
Wachezaji wa Yanga. |
Yanga. |
Waaamuzi wa pambano hilo wakiongozwa na mwamuzi wa kati Vitalis Alfred |
Mwamuzi Vitalis Alfred akisalimiana na mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na kumkaribisha kusalimiana na wachezaji wa Panone fc na Yanga. |
Mkuu wa Mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi msaidizi Ramadhan Mnyone. |
Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi wa akiba ,Masawe, |
Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na wachezaji wa Panone fc. |
Mkuu wa mkoa Gama akisalimiana na wachezaji wa Yanga. |
Viongozi wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na mwenyekiti wake Gudluck Mushi na katibu wake Mohamed Musa wakisalimiana na wachezaji wa Yanga. |
Mawaidha kabla ya kuanza ka mchezo . |
Wachezaji wakipeana mikono . |
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub"Canavarho" akiteta jambo na nahodha wa Panone fc Juma Mgunya mbele ya waamuzi wa chezo huo. |
Waamuzi na manahodha wakila pozi la picha ya pamoja . |
Kikosi cha Panone fc. |
Kikosi cha Yanga. |