KATAA UNENE FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA...
Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili...
View ArticleVACCINATION AGAINST HUMAN PAPILLOMA VIRUS INFECTIONS
MSD is Advocating for the World Immunization Week in AfricaThis year, the African Vaccination Week will be celebrated from 22 to 27 April under the theme --“Vaccination - a shared...
View ArticleRC GAMA ALIVYOANDAA CHAKULA CHA MCHANA CHA PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI WA...
 Waandhishi wa habari wa mkoa waKilimanjaro wakiwasili mkoa huo, kujumuika naye katika tafrija fupi ya chakula cha mchana kwa ajili ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka.wakiongozwa na Abdalla hussein...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AZINDUA RASMI KAMBI YA AIRTEL RISING STARS...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Kambi Maalum ya Kimataifa ya Mafunzo ya Mpira wa Miguu kwa vijana wa...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA DC CHANG'A LEO
MAZISHI YA DC CHANG'A YALIVYOKUWADC Mwamoto akiweka sahii kitabu cha maombolezo leoSpika Makinda akitoa mkono wa pore kwa wafiwaSpika Makinda kulia akimpa pore waziri Hawa GhasiaSpika Makinda...
View ArticleHAFIDH KIDO ATANGAZA KUNG'ATUKA COASTAL UNION
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MIMI Hafidh Athumani Kido, nikiwa na akili timamu natangaza kutojihusisha na shughuli zote za Coastal Union, hasa usemaji wa klabu. Miongoni mwa sababu nyingi...
View ArticleHONGERENI CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG NA DADA ESTER ULAYA KWA KUUAGA...
 Cathbert Kajuna na dada Ester Ulaya hatimaye wamefunga pingu za maisha. Maharusi wote Mungu awape neema na baraka katika maisha yenu ya ndoa.Hapa wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.Kajuna najua hapa...
View ArticleTOP 20 'Mama Shujaa wa Chakula' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKENDI...
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na kusimamiwa na Oxfam limefikia tamati ya hatua ya awali ya kutafuta washindi kwa kutangaza wanawake 20 kuingia katika top 20 ya shindano hilo la aina...
View ArticleLEMA AMJIBU RAIS KIKWETE , AMTAKA OCD ARUSHA AACHIE NGAZI
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) amemtaka Mkuu wa Polisi wilayani hapa (OCD), Gires Muroto, kuachia ngazi baada ya kuzuia mikutano yake.Lema alimtaka OCD huyo kujitoa kwenye uongozi wa...
View ArticleBUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA HADI AGOSTI 5 MWAKA HUU
Na Mwandishi Wetu, DodomaBunge la Katiba limeahirishwa hadi Jumanne ya Agosti  5 mwaka 2014 kuendelea na vikao vya kujadili Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bunge la Maalum la Katiba...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ALIVYOZINDUA WIKI YA CHANJO DUNIANI JANA KATIKA VIWANJA...
Baadhi ya taasisi a NGO'S mbalimbali zilihudhuria uzinduzi huo.Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi wakisikiliza kwa makini mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa.Makundi mbalimbali ya watu...
View ArticleWATANZANIA WAADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO PARIS UFARANSA
Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika.Balozi wa...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA VODACOM YAWAUNGANISHA BUHIGWE KWENYE MTANDAO WA SIMU ZA...
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Charles Gishuli akiuzindua rasmi mnara wa Vodacom kuashiria kuanza kupatikana huduma za kampuni hiyo ya simu nchini katika kijiji cha Bukuba kilichopo Buhigwe mkoani Kigoma....
View ArticleJARIBIO LA KUTEKA NYARA MTOTO WA MWANAHABARI LASHINDIKANA
Rehema Matowo-mwandishi wa Mwananchi KilimanjaroNa Mwandishi Wetu, MoshiKamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Robert Boaz amewatahadharisha wazazi wenye watoto wadogo, kuwaelimisha wafanyakazi wa ndani...
View ArticleWANANCHI WA TEMBELA MBEYA WATAKA KITUO CHA AFYA KUFANYA KAZI MASAA 24
Na Ripota Wetu, Mbeya WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi...
View ArticleALIYETAKA KUMTAPELI DKT. SLAA KESI YAKE YAPIGWA KALENDA
Na Mwandishi wetu, HaiUsikilizwaji wa kesi ya jaribio la kumtapeli katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, umekwama baada ya hakimu anayeisikiliza kupata...
View ArticleMPAKISTANI WA UTOROSHAJI TWIGA AONEKANA AKIJIVINJARI MITAANI HUKU JESHI LA...
Na Mwandishi Wetu, Moshi  Raia wa Pakistan, Kamran Ahmed anayetafutwa kwa udi na uvumba na vyombo vya dola nchini, anadaiwa kuonekana akirandaranda katika mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi.Raia huyo wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini...
View ArticleMAADHIMISHO YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI: ABSALOM KIBANDA AFUNGUKA
Mwanakamati wa maandilizi ya maadhimisho ya Kongamano la Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), akibadilishana mawazo na...
View Article