Baadhi ya vijana hao wakimsikiliza kwa makini Mhe. Naibu Waziri (hayupo pichani). |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel-Tanzania, Bw. Sunil Colaso ambao ni wadhamini wa kambi hiyo kwa kushirikiana na Manchester United akizungumza wakati wa uzinduzi huo. |
Mhe. Mahadhi akimsikiliza Bw. Colaso, Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel-Tamnzania (hayupo pichani wakati wa uzinduzi huo. |
Mmoja wa Walimu kutoka Manchester United Bw. Neil Scott akizungumza wakati wa uzinduzi huo. |
Katibu wa Naibu Waziri, Bw. Adam Isara akiwa na mmoja wa wadau wa michezo wakati wa uzinduzi huo. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Ayoub Nyenzi akizungumza wakati wa uzinduzi huo. |
Wanamichezo na wageni waalikwa wakimsikiliza Mhe. Naibu Waziri. |
Mshereheshaji Bw. Ephraim Kibonde akiendelea na kazi |
Mhe. Maalim akipongezwa na Bw. Colaso baada ya kutoa hotuba. |
Mhe. Maalim akielekea kuzindua rasmi kambi hiyo kwa kupiga mpira. |
Mmoja wa vijana hao ambaye ni mlinda mlango akiwa tayari kudaka mpira kutoka kwa Naibu Waziri. |
Mhe. Naibu Waziri akijiandaa kupiga mpira kuashiria kuzindua kambi hiyo ya vijana. |
Mhe. Maalim akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi Juliana Yasoda ambaye pia alishiriki uzinduzi huo. |
Mhe. Naibu Waziri akizungumza na Waandishi wa Habari |
Vijana hao wakiwa kwenye mazoezi |
Mhe.Naibu Waziri katika picha ya pamoja na viongozi walioambatana na wanamichezo. |
Mhe. Maalim katika picha ya pamoja na wanamichezo. |