![]() |
Mpini wa kisu alichochomwa Mariamu ambapo inasadikiwa Mwanamke huyo baada ya kumpiga kisu cha mgongoni na kuingia,kilikatikia mgongoni na kumfanya Mariamu azidiwe na kupoteza fahamu. |
↧
UNYAMA WA KUTISHA TABORA, MWANAMKE APIGWA KISU CHA MGONGONI ...KISA ADAIWA KUCHUKUA MUME WA MTU.
↧