Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

JK AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO.

$
0
0

Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete.
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi.
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi.

Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya rais kuwasili ikulu mjini Moshi kwa ajili ya ziara wilayani Mwanga .

Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali.
Baadhi ya wageni wakisalimiana
Kamanda wa polisi mkoa wa ArushaKamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akiteta jambo na mkuu wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi ,Matanga Mbushi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles