Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM NA CHADEMA WAANZA KUWANADI WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI...

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanajro, Iddi Juma, (aliyeshika kipaza sauti), akimnadi mgombea wa CCm katika Uchaguzi mdogo wa Udiwani, Wlly Adriano katika uchaguzi uzinduzi wa kampeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMA CUP 2014 YAZINDULIWA

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Augustino Mrema akikagua wachezaji wa klabu ya Himo na Njia panda katika mechi ya uzinduzi wa Mrema Cup 2014, uliofanyika juzi katika viwanja vya Himo, wilaya ya Moshi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MREMA AMKINGIA KIFUA KIKWETE

Na Mwandishi Wetu, Moshi MBUNGE wa jimbo la Vunjo, Dkt Agustino Lyatonga Mrema, amewaonya  baadhi ya wanasiasa ambao  wamekuwa wakieneza siasa chafu  za  kubeza shughuli zinazofanywa na Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VISIMA TISA VILIVYOCHIMBWA WILAYANI MUHEZA MAJI YAKE YANA UBORA MZURI KWA...

Na Hadija Bagasha Muheza, MAABARA  ya kupima ubora wa maji Mkoani Tanga imesema kuwa visima tisavya maji vilivyochimbwa katika mji mdogo wa Muheza maji yake yameonekana kuwa na ubora mzuri na kubainika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHANETA TANGA YATOA SEMINA KWA WALIMU WA MCHEZO WA PETE MASHULENI

Na Safari Chuwa,Tanga.CHAMA cha Mpira wa Pete Mkoa wa Tanga,(Chaneta)kimeanza kutoa semina ya walimu wa mchezo toka wilaya zote za mkoa wa Tanga lengo likiwa ni kuwaanda walimu hao kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE JANA ALIFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU KUTOKOMEZA...

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mheshimiwa Dkt. Seif Rashid, kwenye hoteli ya Serena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP ERNEST MANGU ALIPOMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEFU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGAME ANUSURIKA KUFA AJALINI NCHINI KENYA

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amenusurika kifo baada ya msafara wake nchini Kenya kupata ajali na kusababisha watu wawili kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE AMEFARIKI: TAARIFA YA BUNGE KUHUSU MSIBA HUO HUU HAPA

Mbunge wa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MREMA JIMBONI KWAKE VUNJO-MKOANI KILIMANJARO

Dk. Mrema akiwasili katika soko la Himo juzi alipofanyia mkutano wa hadhara na kukutana na wananchi wa Jimbo lakeDk. Mrema akiwasili katika soko la Himo juzi alipofanyia mkutano wa hadhara na kukutana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZA SEMINA KATI YAKE NA WAFANYABIASHARA...

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu waChina Word Buzkwa upande wa Tanzania kulia akiwanaOfisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA SIHA IMEPITISHA BAJETI YA SH. BILIONI 19.3

Na Omary Mlekwa, SihaHALMASHAURI ya wilaya Siha mkoani Kilimanjaro imesema imeshindwa kukamilisha  kwa miradi ya kimaendeleo kwa wakati kutokana na kuchelewa kupokea fedha za miradi kutoka hazina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SIHA AITAKA HALMASHAURI YA SIHA KUIMARISHA UKUSANYAJI WA USHURU

Na Omary Mlekwa, SihaMKUU wa wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Dkt Charles Mlingwaamewataka wataalumu wa halmashauri hiyo kuimarisha hali ya ukusanyaji wa ushuru wa aina  mbalimbali bila kubugudhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AMFARIJI YUSUF MAKAMBA KWA KUFIWA NA MAMA YAKE

Katibu mkuu mstaafu wa ccm mzee Yusuph Mkamba akimtambulisha dada zake Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole mzee Makamba kwa kufiwa an...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATA RUKSA MAN UNITED KWA PAUNI MILIONI 37!

Juan MataLondon, Uingereza.Ombi la Manchster United la kutaka kumsajili nyota wa Chelsea Juan Matata imekubalika. Ripoti zinasema United imetumia takriban kitita cha pauni milioni 37 kumsajili mcheza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UNITED YAONESHWA MLANGO WA KUTOKEA CAPITAL ONE

Manchester United, kwa mara nyingine tena ilikiona cha mtema kuni pale ilipobanduliwa nje ya kinyanganyiro cha kuwania kombe la Ligi maarufu kama Capital one na timu inayoshikilia nafasi ya pili kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID KLABU TAJIRI KWA MWAKA WA 9 MFULULIZO

Klabu ya Real Madrid imehifadhi taji la kuwa klabu tajiri zaidi duniani kwa msimu wa tisa mfululizo, kuambatana na orodha ya vilabu tajiri iliyochapishwa na kampuni ya uhasibu ya Deloitte.Klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPANGA YAANZA KUTEMBEA UCHAGUZI MDOGO ARUSHA

 UCHAGUZI mdogo wa udiwani Kata ya Sombetini umeanza kwa vurugu baada ya wanachama watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujeruhiwa na kundi la vijana walinzi wa Chama Cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVE NYERERE ALIA NA "VICHUPI" BONGO MOVIE

RAIS wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’, amewafunda wasanii wa kike kuhusu suala la mavazi katika filamu.Steve alikutana na wasanii hao hivi karibuni jijini Dar es Salaam ambako...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENGO LA SHIRIKA LA BIMA YA TAIFA (NIC) KILIMANJARO LAWAKA MOTO....

JENGO la Shirika la Bima la Taifa, mkoani Kilimanjaro (NIC), juzi  lilinusurika kuteketea kwa moto baada ya moto mkubwa kuibuka katika  moja ya Vyumba vya ofisi zake na kuteketeza baadhi ya nyaraka...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live