Dk. Mrema akiwasili katika soko la Himo juzi alipofanyia mkutano wa hadhara na kukutana na wananchi wa Jimbo lake |
Wananchi wakimsikiliza Dk. Mrema (aliyefunikwa kwa kanga katikati) wakati alipofanya ziara katika soko la Himo-Makuyuni. |
Dkt. Mrema akihutubia Mkutano huo, pichani yupo mwandishi wa habari na mpiga picha wa ITV, Robert Minja |