Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAYDEE AMTOSA GARDNER

MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ya kutozungumza na vyombo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MEJA JENERALI MUHIDIN MFAUME KIMARIO MJINI...

 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU MEJA JENERALI MUHIDDINI KIMARIO...

Picha ya Marehemu Meja Jenerali, Muhiddin Mfaume Kimario (76), aliyefariki dunia Oktoba 6, mwaka huu, katika Hospitali ya Apollo India alipokuwa amelazwa kwa muda mrefu akipatiwa matibabu, aliyezikwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhariri Gazeti la MTANZANIA akabidhi vyeti Shule ya Salma Kikwete

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya, akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Ahmed Adamu katika mahafali ya tano ya wahitimu wa Kidato cha nne katika  Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: TFF YAMSWEKA JELA MIAKA SABA WAKILI DAMAS NDUMBARO.

Habari ambazo zimetufikia hivi punde na ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PUMZIKA KWA AMANI COMRADE JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

Tarehe kama ya leo miaka kumi na tano iliyopita giza nene na wingu zito vilitanda juu ya ardhi ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Mshangao mkuu na mduwao mkuu ulijaa ndani ya vichwa vya watanzania....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA MIPANGO WASHIRIKISHE MAKUNDI MAALUM UPANGAJI BAJETI - DED IKUNGI

Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATAIFA 12 YAKUTANA DAR KUZINDUA CIRDA

Meneja wa mradi wa CIRDA kutoka UNDP, Bonizella Biagini akizungumza wakati akitambulisha maofisa waliokuwepo katika uzinduzi wa warsha ya siku tatu ya kimataifa ya ukusanyaji na matumizi ya taarifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA...

Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUBAMBA NA MUZIKI WA LAIVU JIJINI DAR, TUKUTANE THAI...

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Sony Masamba kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKAZI WA UNESCO AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA LEO

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (katikati) akiongoza na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDIO JAMII ZISIKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA KWA MANUFAA BINAFSI

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Msajili wa Vyama vya Siasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS...

Tanzanian songbird Lady Jay Dee sings the National Anthem at the opening of  the Gala Awards ceremony held at the Mlimani  City Conference Centre in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI MTANI JEMBE?SIMBA WAIBUKA KIDEDEA LEO ASUBUHI ZIDI YA WATANI WAO YANGA.

Jana katika viwanja vya shule ya msingi Kijitonyama Watani wamemenyana vikali, ambapo Simba kuibuka kidedea kwa Penarty zidi ya  Yanga.Shindano hilo limefanyika ambapo Mshindi wa kwanza kaibuka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA...

Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FACEBOOK KUTUMIKA KUFUNZA USALAMA BARABARANI

Naibu Kamishna wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (wa pili kushoto) akifurahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014

Mabingwa wa Safari Pool Afrika 2014 kutoka Afrika Kusini, timu ya Taifa ya Pool ya Nchi hiyo wakishangilia na kitita cha Dolla 5000$ sawa na pesa taslimu za Kitanzania Shilingi 8,500,000/= pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO BADO KURIDHIA UJENZI BWAWA LA STIEGLER’S GORGE KUFUA UMEME

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema hakuna makubaliano yaliyofikiwa kati yake na mamlaka husika nchini Tanzania za kuwezeshwa kujengwa kwa bwawa la kufua umeme...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU SEKONDARI YA EDEN GARDEN EDUCATION TRUST WATAKIWA KUJIANDAA.

Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust ya Mkoani Kilimanjaro wanaotarajia kufanya mitihani yao ya mwisho siku chache zijazo wakiingia ukumbini kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI,SEKONDARI YA PAKULA JIMBO LA VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(Suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live