Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

BREAKING NEWS: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO MUDA HUU...

$
0
0

Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.

 
 Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana
 Mwili wa Marehemu huyo ukiwekwa katika Gari la Polisi
 Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi
Maiti ya mwanaume huyo ukiwa umelazwa katika gari la Askari, baada ya kutolewa kwenye mfereji huo.
 Mwili hu ukipakizwa kwenye Gari
 Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles