Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakiingia kwa madoido uwanjani. |
Baadhi ya wazazi wenye watoto wao katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifuatilia sherehe za kuaga wahitimu wa kidato cha nne. |
Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifurahia matukio yaliyokuwa yakiendelea katika sherehe yao ya kuagwa. |
Wanafunzi wa shule ya Msingi Eden Garden Education Trust waliofika kwa ajili ya kuwaaga wenzao wa shule ya sekondari. |
Wanafunzi katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakionesha umahiri wa kucheza muziki. |
Wanafunzi wa shule ya msingi Eden Garden Education Trust wakiimba wimbo wa kuwaaga ndugu zao wa kidato cha nne. |
Wanafunzi wakionesha umahiri katika kucheza Sarakasi. |
Mkuu wa shule ya sekondari Eden Garden Education Trust Thomas Muthiah akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya kidato cha nne kwa wahitimu . |
Mkuu wa Utawala katika shule za Eden Garden Education Trust ,Peter Nayor akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne shuleni hapo. |