Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KAMATI YA LEMBELI KATIKA HIFADHI YA ARUSHA

Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.Mwenyekiti wa kamati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira wakijiandaa kwa safari ya kuelekea katika hifadhi ya Tarangire, iliyoko wilayani Babati, mkoa wa Manyara Mbunge wa Luchoto, Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEMBELI ATAHADHARISHA KUPOTEA KWA TEMBO NA NYUMBU KUFUNGWA KWA MASHOROBA...

Mwandishi Wetu, Manyara Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli ametahadharisha kuhusu uwezekano wa wanyama wa hifadhi ya tarangire kutoweka kutokana na njia ambazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYIKA ALIA NA MAJINA YA VIGOGO OPERESHENI TOKOMEZA SEHEMU YA PILI

Mbunge wa Ubungo ambaye ni mjumbe wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, John Mnyika, ameitaka serikali kuondokana na kigugumizi cha kuwataja kwa majina vigogo wa ujangili.Akizungumza na Waandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL 5-1 ARSENAL UWANJA WA ANFIELD

Klabu ya Arsenal imejikuta ikiangukia pua mbele ya Liverpool katika uwanja wa Anfield baada ya kukubali kipigo cha mbwa mwizi cha 5-1 katika mchezo uliokuwa na ushindani wa hali ya juu.ushindi huo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AUWAWA KIKATILI BAADA YA KUKATAA KUTOA PENZI

Familia ya Marehemu, Sekunda Mushi (42), aliyeuwawa kinyama usiku wa kuamkia, Januari 6, wakiwa na majonzi katika mazishi ya mwanamke huyo anayedaiwa kuuwa kwa sababu ya kimapenzi baada ya kuibuka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAIBURUZA CCM KILIMANJARO

MGOMBEA wa Udiwani kata ya Kiboriloni kwa tiketi ya Chadema,Frank Kagoma ameibuka Mshindi katika uchaguzi huo uliuohusisha vyama vitatu, Chadema, CCM na UDP.akitangaza matokeo ya uchaguzi huo, Msimazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI ACHARANGWA MAPANGA UCHAGUZI MDOGO KATA YA SANTILYA

Mbunge wa Mbeya Vijijini (CCM), Mchungaji Lackson MwanjaleMbunge wa Mbeya Vijijini (CCM), Mchungaji Lackson Mwanjale na Katibu wa Uchumi wa Wilaya, Shadrack Mwanjuguja walijeruhiwa kwa mapamga katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YAMSHIKILIA ALIYEMUUA HAWARA KIKATILI KILIMANJARO

Mwandishi wetu, Moshi. Polisi mkoani Kilimanjaro inamshikilia mfanyabiashara mmoja wa mjini Moshi baada kumuua kikatili mpenzi wa nje (hawara) kwa Rato baada ya mwanamke huyo kukataa kumpa penzi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA...

NAPE NNAUYEDAR ES SALAAM, TanzaniaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika juzi katika kata 27 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA KUMKARIBISHA OFISINI DIWANI MPYA WA KATA YA SOMBETINI- ARUSHA ALI...

Diwani Mteule Mhe. Ally Bananga akisaini kitabu cha wageni ofisini Manispaa ya Jiji la Arusha, na Mhe. Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi (pembeni kushoto) kwa nyuma ni Mbunge wa Arusha Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAANDA KONGAMANO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA...

Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Februari 10, 2014 juu ya kukamilika kwa maandalizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAONGEZA DAU KILIMANJARO MARATHON, WASHINDI SASA KUCHOMOKA NA MILIONI 40.

Mkurugenzi wa Wild Frontiers ambao ni waandaaji wakuu wa Kilimanjaro Marathon, John Addison(kulia) Akizungumza na Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe. Na Mwandishi Wetu, Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video-Kampeni ya uchaguzi kata ya kiboriloni

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZZZ: STOO YA CCP YAWAKA MOTO

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa, Stoo ya kuhifadhia vifaa vya maaskari katika chuo cha mafunzo ya  polisi Moshi (MPA) maarufu kama CCP, imewaka moto.Kwa mujibu wa taarifa hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKOINE DAY FESTIVITIES: Monduli set to mark Sokoine anniversary

Edward Moringe SokoineMonduli residents are expected to mark the 30th anniversary since the death of Tanzanian Prime Minister Edward Moringe Sokoine through staging sports and entertainment activities...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI WA CHUO CHA MAFUNZO MOSHI (MPA) WAKIJITAHIDI KUZIMA MOTO MKUBWA...

Moja ya kifaa kilichopo chuoni hapo ambacho pia kilikuwa kikitumika kwa shughuli za kuzima moto katika jengo hilo .Mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi amesema taarifa kamili ya moto huo itatolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ALIVYOZINDUA KAMPENI YA KUPIGA VITA UUAJI WA TEMBO NA FARU...

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye kompyuta kuzindua rasmi  mabango hayo ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru  kwenye  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MB DOGG KUSAMBAZA ‘Baby Mbona Umenuna’?

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbwana Mohammed maarufu kama Mb Dogg, yupo kwenye mipango ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Baby mbona umenuna?Mb...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MWINYI AIFAGILIA TAASISI YA AGA KHAN KATIKA SHUGHULI ILIYOFANYIKA...

 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akikaribishwa katika hafla ya Maonyesho ya picha kuhusu Taasisi ya Aga Khan, jana kwenye ukumbi wa Diamod Jubilee jijini Dar es Salaam.Mzee...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live