MAZUNGUMZO YA AMANI YA SYRIA HATIHATI KUVUNJIKA
Hatua za amani nchini Syria ambazo zinalegalega zimefikia hatua za mkwamo kamili jna Ijumaa(14.02.2014) huku kukiwa na wasi wasi wa kuvunjika kabisa licha ya mbinyo wa kimataifa. Wakati huo huo nchini...
View ArticleMBUNGE NDUNGULILE AANIKA SIRI MPYA ZA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA KWA...
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleUVCCM WAFANYA BARAZA LA WILAYA NA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA WA MAJIMBO, TEMEKE
Mbunge wa Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile (aliyevaa kovia na ameshika kipaza sauti) akiwa tayari meza kuu. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Vijana (W) Temeke Ndugu Oliver Mwambope, Katibu wa UVCCM (W)...
View ArticleJK AWAPA RUNGU CCM, AWATAKA KUACHA UNYONGE DHIDI YA VURUGU ZA CHADEMA WAKATI...
NA BASHIR NKOROMO MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewapa rungu wana-CCM akiwataka kuacha kujifanya wanyonge dhidi ya vitendo vya fujo ambavyo hufanyiwa na Chadema hasa nyakati za...
View ArticleKILIMANJARO MARATHON YATANGAZA NJIA MPYA.
Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI PEREIRA SIRIMA AZINDUA MKUTANO WA SIKU SITA WA...
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa makamanda wa polisi, wakimsikiliza mgeni Rasmi, Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira Sirima (hayupo pichani), nyuma katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini,...
View ArticleWANARIADHA WAKO TAYARI KWA KILIMANJARO MARATHON
Wanariadha mashuhuri wa Tanzania watapambana vikali ili kushinda medali na fedha katika mbio za Kilimanjaro Marathon 2014 zinazotarajiwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi. Mkurugenzi wa...
View ArticleBENKI YA NMB YAMWAGA MILIONI 75 KATIKA MKUTANO WA MAKAMANDA WA POLISI MOSHI.
Naibu waziri wa Mambo ya ndani, Pereira Sirima akiwasili katika viwanja vya chuo cha taaluma ya polisi Moshi (MPA), mkutano mkuu wa Jeshio la Polisi mkoani Kilimanjaro, mkutano huo unadhaminiwa na...
View ArticleKIGAMBONI WAPATA UONGOZI MPYA
Wajumbe waMkutano mkuu wa CCM wa uchaguzi wa jimbo la kigamboni wakiwa wenye nyuso za furaha siku ulipofanyika uchaguzi huo kwenye ukumbi wa chuo cha Mwalimu Nyerere, Kigamboni.Mgeni rasmi ambaye pia...
View ArticleTAARIFA KUHUSU VIKAO VYA CCM DODOMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.Vikao hivyo ni...
View ArticleKCMC YAZINDUA HUDUMA YA UPASUAJI KWA KUTUMIA DARUBINI
Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo.Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa...
View ArticleFACEBOOK YATANGAZA OFA YA KUINUNUA WHATSAPP
Kampuni ya mtandao wa Kijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu...
View ArticleWANAWAKE WALIOBAKWA KUFUATIA MAPIGANO LIBYA KUFIDIWA
Wanawake wa Libya waliathiriwa zaidi na vita nchini humoWaziri wa Sheria nchini Libya ,salaha al-Marghani,amesema kuwa Baraza la mawaziri limekubaliana kuwa Wanawake waliobakwa wakati wa harakati na...
View ArticleBIASHARA YA NGONO ZIWA VICTORIA; WANAWAKE WANALAZIMISHWA PENZI KUPATA SAMAKI...
Katika ufuo wa bahari ya Ziwa Viktoria kuna biashara inayovuma-dau za uvuvi zilizotengenezwa kwa mbao zimejaa si haba, asubuhi zimejazwa Samaki wa Tilapia.Nyakati za asubuhi na mchana, wavuvi...
View ArticleMWANAMKE ATAPELIWA MILIONI 5 HOTELI YA FRESH COACH MOSHI
Mwanamke mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya...
View ArticleMATOKEO KIDATO CHA NNE HADHARANI
Naibu Katibu mkuu NECTA, Dkt. Charles MsondeMATOKEO ya Kidato cha nne kwa 2013 yametangazwa huku watahiniwa 235,227 wakifaulu mtihani huo ikiwa ni sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani huo....
View ArticleNMB WALIVYOPAMBA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI
Banda la NMB katika mkutano mkuu wa maafisa wa polisi uliofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi (MPA), kuanzia Februari 17 hadi Februari 22. mkutano huo...
View ArticleKATIBU MKUU MUBARRAK ABDULWAKIL AFUNGA MKUTANO WA SIKU SITA WA MAAFISA WA...
Kutoka kushoto, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani, Mubarrak Abdulwakil, Kaimu IGP, Abdulrahman Kaniki, Mkuu wa Polisi Zanzibar, Ali Mussa Ali na...
View ArticleMAMBO 9 USIYOYAFAHAMU KUHUSU RAIS WA ZIMBAMBWE ROBERT MUGABE
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe jana alisherekea kuadhimisha miaka 90 na wikendi hii kutakuwa na sherehe si haba nchini Zimbabwe kusherehekea maisha marefu ya kiongozi huyo.Mugabe alizaliwa katika...
View ArticleWAZIRI MUKANGARA MGENI RASMI KILIMANJARO MARATHON
Mhe. Dk. Fenella Mukangara Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dk. Fenella Mukangara anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio mbio za 12 za Kilimanjaro Marathon ambazo zinatarajiwa kufanyika...
View Article