Afisa Utumishi Manispaa ya Jiji la Arusha akitoa somo kwa Diwani mteule wa Sombetini Mh Ally Bananga (hayupo pichani). |
Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akimsindikiza Mhe. Ally Bananga (Diwani Mteule Kata ya Sombetini) |
Mbunge viti Maalum Kilimanjaro, Mh Grace Kiwelo, akisaini kitabu cha wageni, nae alimsindikiza Diwani Mteule Mh.Ally Bananga |