Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MOSHI VIJIJINI ALIA KUCHEZEWA RAFU FACEBOOK

MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI-DKT. CYRIL CHAMIRipota Wetu, Moshi Jinamizi la Urais linazidi kutikisa medani za siasa nchini, baada ya Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Dk. Cyril Chami (CCM) kudai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘JAKAYA KIKWETE SPORTS VILLAGE' KUJENGWA DODOMA

MAANDALIZI ya ujenzi wa kijiji cha michezo kitakachojulikana kama Jakaya Kikwete Sports Village yanaendelea vizuri, ambako tayari Ikulu, Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Wizara ya Michezo wametoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBA YA CHAMA MRIJO IMEZINDULIWA RASMI MJINI DODOMA

Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, mwenye shati la Kitenge, akishiriki kikamilifu kuzindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayanai Chemba, mkoani Dodoma, wanaoishi jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA AJALI YA TRENI ILIYOCHUKULIWA NA MAFURIKO

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI MBIO ZA SOKOINE MINI MARATHON 2014 WAANZA RASMI

Namba zimeanza kutolewa kwa washiriki wa mbio za Sokoine Mini Marathon Km 21 na Km 2 ambazo zitatimua vumbi Aprili 12, 2014 Monduli mkoani Arusha, rais Jakaya Kikwete ndiye atakayepuliza kipenga cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC KILIMANJARO YAKUMBUKA WAHANGA WA MVUA YA UPEPO WILAYANI MWANGA NA HAI.

Meneja wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro, Shehe Kombo akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa bati kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga.Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili kwenye shule ya sekondari Pugu kwa ajili ya kukabidhi madawati 300 kwa shule tatu zilizopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAENDELEA KUVUNJA NGOME ZA WAPINZANI KUELEKEA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE...

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye sambamba na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiyarudi magoma wakati wa Mkutano wa Kampeni za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI : GAVANA BENNO NDULU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAA YA MAKANYAGA BINGWA WA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA 2014 MOSHI

Mwakilishi wa Baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini Massawe (aliyeshika kombe) katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Bia ya safari lager akiwemo Meneja wa Bia hiyo, Oscar Shelutete (wa tatu kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA...

 Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIBABA AMDUNDA ROY MMBUNDA KWA KO

Bondia Abdallah Mwakipesile wa Moshi manispaa (Glove Nyekundu), akipambana na Emanuel Massawe wa Kibosho, katika pambano la awali uzito wa Kilo 60, kabla ya mpambano wa Ubingwa wa Taifa kati ya Alibaba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKAONI LINDI

Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela(kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA...

Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)  akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo  ambayo itamuwezesha  mtanzania yeyote kuweza kupimamacho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE...

 Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA KUUAGA MWILIWA MAREHEMU MEJA JENERALI KELVIN MSEMWA;KUSAFIRISHWA...

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji na viongozi mbalimbali wa Serikali na JWTZ katika hafla  ya kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Jeshi wa Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC ILIVYOKUTANISHA WADAU WA MUZIKI WA DANSI JUZI

Wadau wa muziki wa Dansi katika picha ya pamojawadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchiBaadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAAWACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3...

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili),  Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake  Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

3 BORA WA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA KANDA YA ZIWA...

Baadhi ya washiriki wakionyesha uwezo wao wa kuigiza mara baada ya kupewa muswada (script).Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live