Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA KUHAMISHIA NGUVU MIKOANI; KUTEMBELEA , MBAMBABAY MKOANI RUVUMA

Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta, Luiza Mbutu, akifanya mambo jukwaani katika moja ya maonyesho ya bendi yake.Na Kambi Mbwana, Dar es SalaamBENDI ya The African Stars, Twanga Pepeta, itakuwa nje ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHURU WA KUPENDA NA KUPENDWA UNAVYOATHIRI PENDO HURIA

Uhuru wa kupenda au kupendwa ni moja ya haki binadamu ambayo kama zilivyo haki yoyote ile inatakiwa iheshimiwe kwa sababu kila mmoja ana haki ya kuoensha hisia zake katika kile ambacho moyo wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GURJIT DHANI BINGWA WA VAISAKHI RALLY 2014

Dereva Gurjit Dhani wa Subaru kushoto na msaidizi wake Shameer Yusuf kulia wakishangilia ushindi wao baada ya kuibuka mabingwa wapya wa mashindano ya magari ya Vaisakhi Rally 2014Gari namba 2, aiana ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Ibrahim Msengi wakiwa na mwenyeji wao mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,(MUWSA)mhandisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akitizama sehemu ya mbele ya kiwanda cha kutengenezea Konyagi feki ambapo muonekano wake ni maduka na saloon.Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE NGOMA IMENOGA CHALINZE; LAIZER NA OLE SENDEKA WAJITOKEZA...

"Kijana wangu,hapa ndipo ilipokuwa Ngome ya Baba yako na sie tunaimani na wewe" alisikika akisema Mzee huyu kumwambia Mgombea Ubunge,Ridhiwani Kikwete wakati alipofika kuhani Msiba wa Mtoto wa Mzee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAA YA MAKANYAGA BINGWA WA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA 2014 MOSHI

Mwakilishi wa Baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini Massawe (aliyeshika kombe) katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Bia ya safari lager akiwemo Meneja wa Bia hiyo, Oscar Shelutete (wa tatu kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI...

Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDDS MISS TANZANIA 2014 YAZINDULIWA RASMI LEO DAR ES SALAAM

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni   mkurugenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMTANGAZA MADADI KUWA MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi.Uteuzi huo umefanya na Kamati ya Utendaji katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KUZINDUA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua rasmi shughuli za bunge la kitaifa kuhusu marekebisho ya katiba mjini Dodoma katika hatua itakayoanzisha rasmi mjadala wa kitaifa kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AVURUGA BUNGE LA KATIBA; APINGA SERIKALI TATU

Rais Jakaya Kikwete jana alibadili upepo wa mchakato mzima wa Katiba baada ya kutoa maoni yake binafsi, akitaka muundo wa Serikali mbili badala ya tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKOINE MEMORIAL MINI MARATHON INAKUALIKA MONDULI APRILI 12, 2014

Gidabuday,W.F.Tarehe 12 Aprili 2014 Tanzania inatimiza miaka 30 tangu kumpoteza kiongozi wake shupavu aliyefariki kwaajalimbaya ya gari Aprili 12 1984 mkoani Morogoro.Si mwingine bali ni aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA KWA MASAA 9 MJINI MOSHI.

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma.Kutokana na mgomo huo ndipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZ:POLISI KILIMANJARO YAFANIKIWA KUZIMA MAANDAMANO YA WANAFUNZI...

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro- Robert BoazMwandishi wetu, MoshiJESHI la polisi mkoani Kilimanjaro, kikosi cha kutuliza ghasia (FFU)kimefanikiwa kuzima maandamano makubwa ya Wanafuzni ya Shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA MJI KOROGWE WAUPOKEA KWA KISHINDO MPANGO WA TIKA, WACHANGIA MIL....

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Ngalawa akifungua mkutano wa siku ya wadau wa Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA) ambapo Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kuchukua maoni yao na kuwaeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda Leo atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA NZEGA, DK. KINGWANGALA: TCME WAMEUPOTOSHA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA ILALA TUPIA JICHO BARABARA YA MOMBASA-MOSHI BAR - BOMBAMBILI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIGOGORO YA ARDHI YASHIKA KASI HANDENI;WANANCHI WALAOLAMIKA KUPORWA ARDHI...

Na Mwandishi wetu,  Aliyekuwa HandeniWANANCHI wa Kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, mkoani Tanga, wamemlalamikia mwekezaji anayejulikana kwa jina la Amina Singa, kuwa anapora ardhi zao, huku...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live