Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

BAA YA MAKANYAGA BINGWA WA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA 2014 MOSHI

$
0
0
Mwakilishi wa Baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini Massawe (aliyeshika kombe) katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Bia ya safari lager akiwemo Meneja wa Bia hiyo, Oscar Shelutete (wa tatu kushoto waliosimama), baada ya kutawazwa mabingwa wapya wa Moshi katika shindano la safari lager nyama choma 2014.
Mchoma nyama mkuu wa Baa ya Makanyaga akishangilia ubingwa wake katika shindano la mwaka huu la Safari Lager Nyama choma 2014.
Mkuu wa Magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, akimkabidhi Mchoma nyama mkuu wa baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini.
Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (kushoto)akishangiliana mfanyakazi mwenzake baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la mwaka huu la Safari Lager nyama choma 2014, mjini Moshi.
Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (katikati) akipokea fedha taslim shilingi laki nane kutoka kwa Mkuu wa magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, wanaoshuhudia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) na baadhi ya wawakilishi Safari Lager.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles