Jumuiya ya Bango Sangho watoa huduma za afya bure Kibugumu
Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akimpima moja ya mtoto aliyeletwa kupata huduma katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mratibu wa...
View ArticleUNESCO, TIE NA OUT WAFADHILI KOZI KUBORESHA MITAALA YA ELIMU AFRIKA
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly...
View ArticleEU, UN WAFAGILIA JUHUDI ZA KUBORESHA HALI ZA WANAWAKE TANZANIA
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya...
View ArticleZitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama ndani ya Chadema
-HARE ON EMAILEMAILSHARE ON PRINTPRINTMwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe ambae awali alifungua kesi kwaajili ya...
View ArticleWateja wa Bayport watakaokopa kwa njia ya mtandao online kushindania Milioni 1
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATEJA wa taasisi ya Kifedha ya Bayport inayojihusisha na mambo ya mikopo wanaweza kujishindia jumla ya Sh Milioni moja, endapo wataamua kukopa kwa njia ya mtandao wa...
View ArticleJAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI
Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya...
View ArticleBARAKA SHELUKINDO ATOA TAHADHARI JUU YA MATAPELI WA MITANDAONI
Dear FriendsNapenda kutoa taarifa kwamba kumekuwa na tapeli mmoja ambae amekuwa akitumia picha zangu kwa kufungua facebook accounts kwa majina mbali mbali kama Justin Stan,James Brown,Onesmo,Felister...
View ArticleLEADING TEA PACKING COMPANY PROMISES GREAT TEA
CHAI BORA the leading Tea packing company in Tanzania, with over 300 employee operating countrywide distribution from head office based in Dar-es-Salaam, Companies factory is based in Mafinga Irringa...
View ArticleArticle 0
Kilimanjaro...SIKU chache baada ya kugundulika nyumba iliyohifadhi watoto 18 katika eneo la Pasua mjini Moshi mapya yameibuka baada ya uwepo wa watoto wengine 11, wenye umri wa miaka 14 hadi 17,...
View ArticleWaTanzania wa Houston Texas kurekodi kipindi kuhusu mauaji ya Albino Tanzania
Wadau kutoka New York katika moja ya vipindi vilivyorekodiwa.Wadau wa North Carolina wakiwa kwenye kipindi kilichopata kurekodiwa.Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza...
View ArticleIT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU...
Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.Karibuni sana tuanze weekend...
View ArticleSKIMU YA MPUNGA KIROKA YAPATA UGENI MKUBWA
Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya Mratibu...
View ArticlePazi ReUnion USA. Mabo yazidi kupamba moto Houston Texas
Watatu toka kushoto ni Richard Kasesela alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika...
View ArticleTAMKO LA RSA KUHUSU AJALI NA HALI YA USALAMA BARABARANI
TAMKO LA RSA KUHUSU AJALI ZA BARABARANI (1).docx by moblog
View ArticlePAZI REUNION HOUSTON, TEXAS LEO KUWAKA MOTO WACHEZAJI WENGI NDANI YA NYUMBA
Timu ya Pazi wanaume wakipata picha ya pamoja na mashabiki wao walipokua nyumbani kwa madikodiko ambaye pia ni mmoja wa waratimu wa tamasha hili la kumbukumbu ya timu hiyo iliyowika miaka mingi katika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana Machi 13, 2015 na Rais wa Misri,...
View ArticleImetosha Movement Kufanya Matembezi ya Hisani Machi 28
Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na...
View ArticleHAPPY BIRTH DAY MDAU MAUREEN ROBERT, MUNGU AKUPE AFYA TELE...
HAPPY BIRTH DAY!!! Mtoto Moureen Robert (3), anayetiiza umri wa miaka mitatu tangu azaliwe anawashukuru Wazazi wake Bi. Safina Sarwatt ambaye ni mwandishi wa Gazeti la Mtazania, mkoani Kilimanjaro na...
View ArticleEU WAMPA TUZO MAMA HELEN- KIJO BISIMBA
Umoja wa Ulaya umemtunuku Mama Helen Kijo- Bisimba (pichani) kutokana na mchango wake kwa ajili ya kutetea na kulinda haki za binadamu nchiini.Tuzo hiyo, ilitolewa juzi na EU siku ya Jumanne wiki hii...
View ArticleMATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es...
View Article