Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama ndani ya Chadema

$
0
0

Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe ambae awali alifungua kesi kwaajili ya kuzuia kuvuliwa uanachama wake huku mapema leo Mahakama ikitoa hukumu kwa Zitto Kushindwa kesi hiyo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles