Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA AKUNWA NA KUMWAGA MAHELA KWA WAIMBAJI WA SKYLIGHT BAND WANAOTOA...

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.Digna Mbepera na Bela Kombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWIECO YATOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI...

Afisa Habari wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO), Veronica Ollomi akifafanua jambo katika Warsha ya siku mbili kwa waandishi wa Habari  wa mkoa wa Kilimanjaro,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA - MOROGORO,...

Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Loyce Ruhembe akiwakaribisha Wanahabari ambao wakitembelea gerezani hapo Desemba 19, 2014. Wanahabari hao wapo katika ziara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa shindano la AppStar wakabidhiwa zawadi zao

Mshindi wa kwanza wa shindano la AppStar tabaka la wabunifu waliobobea Roman Mbwasi akielezea jambo wakati wa shughuli ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO YAFADHILI MAENDELEO YA SAYANSI AFRIKA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye mahafali ya pili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia yaliyofanyika jijini Arusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASHAURIWA KUITUMIA NEEMA YA GESI KUPELEKA HIFADHI YA JAMII KWA...

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania haiwezi kuendeshwa kwa ramli- J K

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe Tanzania, kama ilivyo nchi nyingine yoyote duniani, haiwezi kuendelea kwa kutegemea ramli bila kuwekeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Iringa kuongeza vivutio vya Utalii

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza, amesema mkoa wake utapata jengo la makumbusho la kisasa kabisa litakalokuza sekta ya utalii pamoja na kuwawezesha wajasiriamali wadogo na kuongeza ajira kwa jamii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Bilal Kuzindua majengo Taasisi ya Sheria leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM TANAZANIA YAENDESHA ZOEZI LA KUWAPIMA KIWANGO CHA KILEVI MADEREVA...

Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi, Manase Temaeli, dereva wa gari la Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE RAIS ATEGUA KITENDAWILI CHA SAKATA LA ESCROW, ATENGUA UWARIZI WA...

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA ZA MKUTANO WA JK NA WAZEE WA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA MECKI DHIDI YA MAHUSIANO YASIYORIDHISHA KATI YA WAANDISHI WA MKOA WA...

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro (MECKI), Rodrick Makundi (Aliyesimama) akatika moja ya mafunzo. (Picha na Maktaba Yetu).Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampeni ya Usalama barabarani ya“Wait to Send”yawafikia madereva Mbeya

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mkunde Said (kushoto)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Fikiri Sabigo kwa kutumia kifaa maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA MADINI WALALAMIKIA GHARAMA ZA LESENI....

WADAU wa ununuzi wa madini ya kati (TASGEDO), na wale wa vyama vya wachimbaji nchini (REMAS) wamepinga hatua ya serikali kupandisha mara dufu gharama ya leseni za utafiti na uchimbaji na leseni za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahamaka kuanza kusikiliza kesi ya IPTL na PAP leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania leo itaanza kusikiliza kesi ya maombi ya makampuni ya kuzalisha umeme ya IPTL na PAP ya kutaka kuzuia utekelezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu kashfa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI TABORA LAKAMATA WAWILI KWA KUTENGENEZA MAGOBOLE

Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limewakamata watu wawili wanaojihusisha na utengenezaji wa silaha za moto aina ya magobole, zinazohusika katika uhalifu.0ACP Suzan KagandaKatika msako unaoendeshwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU KATIKA MAENEO YA WAFUGAJI NI JANGA-Lowassa

Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa amesema matokeo mabaya ya mtihani wa darasa la saba katika shule za msingi zilizoko maeneo ya wafugaji ni janga na pia ni kikwazo kukubwa cha jitihada za...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live