Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi, Manase Temaeli, dereva wa gari la Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya safari zake kati ya miji ya Moshi na Arusha .
Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi ,Rumisha Minja dereva wa gari la Mtei lenye namba za usajili, T 882 CDU linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar es Salaam.