Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU YA TANZANIA YAHUSISHWA NA ESCROW-BBC

Bunge la Tanzania hapo juzi liliambiwa kwamba afisa mmoja wa ikulu ya rais bwana Prosper Mbena aliandika barua ili kushinikiza hatua ya kutolewa kwa billioni 306 fedha za Escrow kutoka banki kuu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM SINGIDA

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO WAANZISHA PROGRAM YA UTAMADUNI KUKABILI UKIMWI

Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA BENKI YA MKOMBOZI DHIDI YA SAKATA LA ESCROW

UtanguliziTaarifa hii inatolewa kwa umma kutokana na ripoti mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari mitandao ya kijamii na taarifa iliyotolewa kwenye mjadala katika Bunge la Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTEUA PROF. MUSSA JUMA ASSAD KUWA CAG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MWENYEKITI WA BAVICHA KILIMANJARO WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Tunaanza rasmi kampeni leo- Novemba,30 2014 kwa ajili ya uchaguzi utakaofanyika Desemba 14, 2014.Hii fursa njema kwa ajili ya kuwachagua viongozi tutakao shirikiana nao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'CONDOM' ZATUMIWA NA KUFULIWA TANZANIA-BBC

Wakati Dunia nzima leo, Desemba mosi, ikiadhimisha siku ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI, Nchini Tanzania kuna maeneo machache ambayo baadhi ya watu wake hawana uelewa thabit wa kutumia mipira ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA WALEMAVU BUHANGIJA JUMUISHI YAELEMEWA NA CHANGAMOTO

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO

Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha waliofika katika mabanda ya Vodacom yaliyokuwa katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA...

Wawakilishi wa Cafe Africa,Catherine Mwangata(Coutry Manager)  na Wiliam Wakuganda(Special Advisor) wakifuatilia mjadala wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa ,uzinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt.Kigwangalla akemea viongozi wabadhirifu

Mbunge wa Nzega Dkt Hamis Kigwangalla amekemea tabia ya serikali kutochukua hatua kali za kisheria kwa baadhi ya viongozi wanaochukua mali za umma na kugawana kama karanga inawafanya wananchi kukosa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Optimism and opportunity abounds but a bumpy and slow journey ahead for some:...

JOHANNESBURG, South-Africa, December 2, 2014/ -- The African continent continues to attract the interest of global investors, developers and operators searching for growth. While there are short term...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkew

Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Football Stars, Celebrities, International Health Organizations and...

Public education campaign emphasizes vital role of healthcare workers and features new Ebola prevention communications for West Africa, including ‘We’ve Got Your Back’ PSAMALABO, Equatorial Guinea,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA...

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand).Mbunifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA CHADEMA WAKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BUNGE LA ULAYA NCHINI UBELGIJI

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demoikrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa Abdalla Safari na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu wakiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIMBA YAWAACHISHA SHULE WANAFUNZI 808 KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 8 NCHINI.

Takriban wasichana 808 wameacha shule katika kipindi cha miaka minane katika jimbo la Rukwa nchini Tanzania kutokana na mimba ,mkuu wa elimu katika jimbo hilo Fanuel Mkaruka amesema.Bwana Mkaruka...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live