JAPANI YASAIDIA WAKIMBIZI TANZANIA
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE NDANI YA THAI VILLAGE HUKU...
Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE...
View ArticleSTEVE NYERERE AWANDALIA WASANII WENZAKE CHAKULA CHA JIONI
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Iddy Mnyampanda akizungumza shule ya sekondari Kinyeto.Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu...
View ArticleUTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND...
Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI MKOANI TANGA
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi pamoja na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakivishwa skafu baada ya kuwasili kwenye...
View ArticleWaziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye aponda chagizo la ujana kugombea urais
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWAZIRI Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye, amesema kila mtu ana haki ya kugombea urais, ila si muhimu agenda ya ujana ikaendelea kuungwa mkono, maana haina jipya wala faida...
View ArticleTBC ILIVYOFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai...
View ArticleDiabetes program: Mobile technologies are catalysts for development in Senegal
PRESS RELEASEThe mDiabetes project in Senegal is one of the larger mHealth projects Alcatel-Lucent is involved inDAKAR, Senegal, July 14, 2014/ -- Alcatel-Lucent (http://www.alcatel-lucent.com)...
View ArticleWATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI MJINI MKOANI KILIMANJARO.
Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na...
View ArticleKATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akiendelea na ujenzi katika uwanja wa michezo wa st.Benjamin uliopo Usa river kwa ufadhili wa edinburgh global partnerships na...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI...
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya...
View ArticleGODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI
Katibu wa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Martine Simangwa kushoto akikabidhi msaada wa bati 100 kwa uongozi wa kijiji cha Usengerendeti kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya...
View ArticleMRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR)Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert...
View ArticleGemalto joins GSMA pan-African mHealth Initiative
PRESS RELEASEA mobile ecosystem that aims to improve maternal and child health and nutrition in sub-Saharan AfricaAMSTERDAM, Netherlands, July 15, 2014/ -- Gemalto (Euronext NL0000400653 GTO)...
View ArticleVIGOGO MAMLAKA YA BANDARI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka....
View ArticleMTUHUMIWA WA KESI YA TINDIKALI ZANZIBAR ATIWA MBARONI
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Mtu huyo anatuhumiwa kuhusika na tukio...
View ArticleHALI YAZIDI KUWA TETE KANISA LA MORAVIAN, JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI,...
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigalla akiongea na baadhi ya wachungaji na waumini wa kanisa la Moravian kuwaomba wafunguo ofisi hizo ili mazungumzo yafanyike Mmoja wa wachungaji hao, Edward...
View ArticleMAALIM SEIF AKUTANA NA KAMATI YA UKAGUZI YA FEDHA ZA SERIKALI NA BARAZA YA...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi wa fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi (PAC), Ofisini kwake Migombani....
View Article