MISATAN YAWAPIGA MSASA WANAHABARI KILIMANJARO KUHUSU MATUMIZI YA INTERNET.
Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.Mratibu wa Mafunzo ya...
View ArticleMAZISHI YA MWANAHABARI NGULI NKWABI NG'WAKILALA
Mhariri wa gazeti la ThisDay, Fumbuka Ng’wanakilala (aliyebeba msalaba), pamoja na wadogo zake, Lugendo (kushoto) na Manyanda (kulia), wakiwaongoza waombolezaji waliobeba jeneza lenye mwili wa Baba...
View ArticleMBEYA CITY NA PRISON HAPATOSHI KESHO SOKOINE
TIMU za Tanzania Prison na Mbeya City zote za jijini Mbeya zinatarajia kupimana nguvu katika mtanange utakaopigwa jumamosi hii(Julai 5, mwaka huu) kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini...
View ArticleDRFA yaipongeza Simba, Aveva kuchaguliwa kwa kishindo
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamCHAMA Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza klabu ya Simba kwa kufanya uchaguzi wa amani na kupata viongozi wake wapya watakaoingoza kwa miaka...
View ArticleACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA...
Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika...
View ArticleMAWAZIRI WAMIMINIKA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 9 AWEKA REKODI YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KWA...
Idda katika safari yakeMwandishi wetu, MoshiMSICHANA Idda Baitwa (9), ameweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza mwanamke kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro akiwa na umri mdogo zaidi kwa kutumia...
View ArticleMAWAZIRI WAMIMINIKA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...
View ArticleKONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE...
Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa...
View ArticleUZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM WAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA
Mmoja ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya Selcom Wireless, Bi,Joriet Benjamin akichukuwa fedha zake katika ATM mashine mpya za kampuni hiyo wakati wamaonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya...
View ArticleJK AVUTIWA NA MRADI WA NSSF WA UJENZI WA MJI WA KISASA WA DEGE ECO VILLAGE
Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau wakati alipotembelea banda la NSSF. Kutoka kushoto ni...
View ArticleCHUMBA CHA UPASUAJI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO (MAWENZI)...
Mwandishi wetu, KilimanjaroKITENDAWILI cha lini chumba cha upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro (Mawenzi), itakamilika ujenzi wake na huduma za upasuaji kurejea kama kawaida katika...
View ArticleWANAHABARI WAMETAKIWA KUANDIKA HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya...
View ArticleMAHAFALI YA SHULE YA AWALI YA OJAYS KIDDIES ZONE YAFANA
Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5...
View ArticleJERRY SILAA AIFAGILIA MeTL GROUP.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya...
View ArticleMTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE FUMIHITO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO
Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya...
View ArticleMAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI (MUWSA) YAFANYA TATHMINI YA...
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (hawapo pichani) wakati wa kutimiza siku 360...
View ArticleMAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKATI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA KIVUKO KIPYA CHA MV MARA KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MAENEO YA IRAMBA BUNDA NA MAJITA MUSOMA VIJIJINI. KUTOKA...
View ArticleBRAZIL BILA NEYMAR WATAWEZA KUVUNJA UKUTA WA UJERUMANI LEO?
Hatua za nusu fainali za michuano ya Kombe la Dunia huacha historia isiyofutika katika ulimwengu wa soka.Wakati mwingine ile ari, nguvu na kasi inayotumika kutaka kufika hatua ya mwisho hutoa ushindani...
View ArticleUHOLANZI DHIDI YA ARGENTINA NI MECHI YA KUONESHANA UMWAMBA; NANI ATAINGIA...
Argentina na Uholanzi wanakutana kesho katika mchezo wa nusu fainali ya Pili ya kombe la dunia mwaka 2014 itakayopigwa katika uwanja wa Arena Corinthians, mjini Sao Paulo, huku swali kubwa likiwa ni...
View Article