MIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA...
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini...
View ArticleMB DOG AHAHA KUTAFUTA HESHIMA
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesema baada ya kuachia video yake ya ‘Mbona Umenuna’, anaendelea na juhudi za kuwapatia raha wadau na...
View ArticleBUNGE LAPITISHA KATIBA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa...
View ArticleMATUKIO MANNE KABLA YA AJALI NA PICHA YA ARI ALILOPATA NALO AJALI DIRECTOR...
Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye http://djchokamusic.com/ kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye...
View ArticleNEY WA MITEGO ANAJIVUNIA MAFANIKIO YA "KULA UJANA'
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI wa Hip Hop, Emmanuel Elbariki maarufu kama Ney wa Mitego, amesema wimbo wake wa ‘Nakula Ujana’ unampa raha kutokana na kupokewa kwa shangwe na mashabiki wa...
View ArticleMWILI WA MAMAKE ZITTO WASAFIRISHWA
Zitto kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishiNdege Ikiandaliwa Ili kuweza...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI YA ZIWA VICTORIA NA HIFADHI YA YA KISIWA CHA SAANANE MWANZA
Mandhari za kuvutia ukiwa katika kilele cha kilima kilichopo katika Hifadhi ya Saaanane.Ukiwa katika Kisiwa cha Saaanane mji wa Mwanza unautazama hivi.Mji wa Mwanza ukionekana kwa mbali ukiwa...
View ArticleSPORTS XTRA DAY YAFANA JIJINI ARUSHA
Zenith Media Yatwaa Kombe la Sports Extra Day Bonanza kwa Jiji la Arusha.Timu ya Banana investiments ikisali kabla ya kuanza kwa mchezo.Huyu nae alikuwa aki #BRAZUCA katika mchezo wa Sports Xtra Day...
View ArticlePANONE FC YAPANDA DARAJA; YAICHAPA SMALL TOWN.
KIKOSI CHA TIMU YA PANONE FC WAKIWA KATIKA PICHA KABLA MCHEZO WAOPanone FC kutoka Kilimanjaro imefanikiwa kupanda daraja la kwanza, baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo wake wa mwisho. Panone...
View ArticleTAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI SIKU YA TAREHE 28/06/2014
Taasisi ya faridas foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6-12 jioni. Katika...
View ArticleBreakbulk Workshops in Dar es Salaam & Nairobi Provide Unmatched...
PRESS RELEASEDAR ES SALAAM, Tanzania, Hundreds of logisticians will take part in the East African Breakbulk Workshop Series (http://www.breakbulk.com) which will deliver invaluable opportunities for...
View ArticleKINANA AKUTANA NA MCHIMBAJI MDOGO MERERANI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleLocal businesses should capitalize on Africa’s rising opportunities, says DHL
PRESS RELEASEA definite opportunity for SMEs to fill the gaps which are not being serviced by large global companies - DHLCAPE-TOWN, South-Africa, June 3, 2014/ -- Due to Africa being home to seven of...
View ArticleAZAM TV WAIKABIDHI BODI YA LIGI KUU FEDHA ZA MSIMU WA PILI
Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington kulia na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Mwakibinga leoKAMPUNI ya Azam Media imetangaza kuwa tayari imeshatuma fedha kwa Bodi ya Ligi kwa ajili ya msimu wa...
View ArticleSingapore to boost economic ties with Africa
PRESS RELEASEThird edition of Africa Singapore Business Forum sets the stage for stronger trade and investment flows between both marketsJOHANNESBURG, South-Africa, June 4, 2014/ -- 1....
View ArticlePANONE FC YAPATA MAPOKEZI YA KISHUJAA MKOANI KILIMANJARO
Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Goodluck Mushi wakipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara baada ya kuwasili wakitokea jijini Mbeya ambako...
View ArticleGeoPoll Unveils First Ever Overnight TV Ratings In African Markets
PRESS RELEASENew Audience Measurement Service Launches with Unprecedented Data on the Viewing Habits of More Than 300 Million PeopleNAIROBI, Kenya, June 5, 2014/GeoPoll (http://research.geopoll.com),...
View ArticleTigo, Airtel and Zantel to enable mobile money payments between their...
PRESS RELEASEDAR ES SALAAM, Tanzania, June 4, 2014/ -- Tigo (http://www.tigo.co.tz), Airtel and Zantel announced today a pioneering agreement to allow customers of Tigo, Airtel and Zantel in Tanzania...
View ArticleEricsson mobility report: Mobile internet usage to increase at twice the...
PRESS RELEASEMobile internet use doubling year-on-year, with usage expected to increase 20 times in the next five yearsBy 2017, 3G technology will outstrip 2G to become the region’s dominant form of...
View ArticleVIATU VYA LAKUCHUMPA VITAKAVYOTUMIWA NA NYOTA WA KIMATAIFA FAINALI ZA KOMBE...
Kampuni yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu.Fahamu uzinduzi wa...
View Article