Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

TASWIRA MBALIMBALI YA ZIWA VICTORIA NA HIFADHI YA YA KISIWA CHA SAANANE MWANZA

$
0
0

Mandhari za kuvutia ukiwa katika kilele cha kilima kilichopo katika Hifadhi ya Saaanane.
Ukiwa katika Kisiwa cha Saaanane mji wa Mwanza unautazama hivi.
Mji wa Mwanza ukionekana kwa mbali ukiwa Ziwani.
Mawe Makubwa yaliyoko katika Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane .
Ndege wakiota Jua katikati ya Ziwa Victoria.
Barabara ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane.
Mawe ya kuvutia.
Mti ukiwa umejishikiza katika Mwamba mkubwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles