Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Nikki Mbishi kuendelea kufanya muziki?

$
0
0
Star wa michano aliyetangaza kuacha muziki wiki kadhaa zilizopita, Dr Unju a.k.a Nikki Mbishi ameonesha dalili ya kubadilisha mawazo yake juu mpango huo.

Nikki Mbishi amesema kuwa endapo mtu atamuhitaji kwa shughuli kama hiyo na malipo yake yakamridhisha, atakuwa tayari kupiga naye kazi.

Nikki amesema kuwa, katika maamuzi yake kuna pande mbili ambazo zote zinawezekana kufanyika, moja ikiwa ni kuachana kabisa na muziki na kufanya mambo mengine na kwa upande mwingine pia inawezekana akawa anajihusisha na muziki kwa pembeni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles