Baadhi ya wageni walikwa katika uzinduzi wa msimu wa 13 wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni uliofanyika mjini Moshi. |
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mafuta na vilainishi GAPCO ,Caroline Kakwezi ambao ndio wadhamini wa mbio za watu wenye ulemavu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio hizo. |
Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro (KAA) Liston Methacha akizungumza wakati wa hafla ya fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za Kilimanjaro Marathoni. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kibo Palace Hotels na Kibo Homes ,Vicent Lasway akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika katika Hotel ya Kibo Homes. |
Wanariadha toka klabu ya riadha ya Holili wakifuatilia uzinduzi hhuo. |
Baadhi ya viongozi walioalikwa katika uzinduzi wa mbio hizo. |
Mkurugenzi wa kampuni ya ExecutiveSolution ,Aggrey Mareale akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mbio za Kilimanjaro Marathoni ambazo zimeingia msimu wa 13 ,zitakazofanyika mwezi wa tatu mwaka huu. |