NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA...
MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania,...
View ArticleFinance - Africa: JSE announces cross listing of Exchange Traded Funds...
JOHANNESBURG, South-Africa,August 14, 2015/...
View ArticleOFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa...
View ArticleHATIMAYE CAROLINA CHILELE AWA MSHINDI SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster , Afisa Kilimo Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Dkt. Kissa Kajigili, Mshindi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 msimu...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI,...
Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi...
View ArticleGLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30...
View ArticleBREAKING NEWS: WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA...
Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye...
View ArticleMshumaa wa wiki.....Barry White
Mshumaa wa wiki ni kipengele kinachozungumzia kuhusu msanii ama kundi la muziki wa zamani katika kipindi cha Mishumaa ya KaleKipindi hiki hukujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka 1 usiku kwa saa...
View ArticleMISS TANZANIA USA: MAJAJI WAMPOKONYA USHINDI DOREEN PANGA NA KUMVIKA TAJI...
Aeesha Kamara sasa ndiye mshindi wa Miss Tanzania USA pageant Miss Africa 2014-15 akipata picha ya pamoja na Doreen Panga baada ya kuvikwa taji la Miss Tanzania USA Miss Africa 2014-15 akipata picha...
View ArticleBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI...
Balozi mpya atakayeiwakilisha Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi akiwa amefuatana na Mkewe Marystella Masilingi pamoja na mwanae Nelson Masilingi wawasili kituoni kwake Washington DC,...
View ArticleWADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF...
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni 'B' kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari...
View ArticleUN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa...
View ArticleTANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.
Kaimu Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Victor Ketansi akizungumza na wanahabari(hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda wa...
View ArticleWASIOONA WATISHIA KUTOMPIGIA KURA MWANASIASA AMBAYE HAJAWAWEKEA MAZINGIRA...
Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Luis Benedicto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu wasiona kutengwa katika mchakato mzima...
View ArticleMAGUFULI AITIKISA KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA AMNADI KWA KISHINDO.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) :...
View ArticleWananchi Wamzuia Mgombea Mwenza wa CCM Barabarani Mwanga
Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo. Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo. BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleMFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA.
Meneja Masoko wa Mfuko wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia) akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum,ACP Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN...
Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha...
View ArticleMGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA.
Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader),George Mkanza-(Sustainability...
View ArticleFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa...
View Article