Hatimaye wakazi wa kijiji cha Amani Tabora usiku wa leo watalala bila kero ya...
Kijji cha Amani kinavyoonekanaTaasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu...
View ArticleLUCY OWENYA CUP YAZINDULIWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI
Mbunge wa viti Maalumumkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika...
View ArticleKITABU CHA 'THE 7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE' CHAZINDULIWA UPYA KWA...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha "The 7 Habits of highly effective People" kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza...
View ArticleKONGAMANO LA UHURU WA HABARI WPFD KUFANYIKA MOROGORO MEI 2-3, WADAU ZAIDI YA...
Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na...
View Article'Tanzania Bloggers Network' (TBN), 22/04/2015 yaanza kuandikisha wanachama wake
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni...
View ArticleTBL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUTOKOMEZA MALARIA DUNIANI
Picha ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao kabla ya Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi Oysterbay. Matembezi Matembezi barabara...
View ArticleDIAMOND: NIMESHAMVALISHA PETE YA UCHUMBA;KUMUOA ZARI MWAKA HUU
Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari...
View ArticleNJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI...
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendlea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Thai Village Masaki...
View ArticleSHAMRA SHAMRA ZA MAANDAMANO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA...
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo...
View ArticleWAKUNGA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUTENGENEZA TAIFA LA KESHO
Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika...
View ArticleMAFURIKO YAATHIRI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai.Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa.Baadhi...
View ArticleMiaka 90 ya Rais Ali Hassan Mwinyi
Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90.Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yakeUNGANA NASI
View ArticleHappy Birthday MO
MODEWJI BLOG TEAM:Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!And below is a small gift from us! Please...
View ArticleUNESCO, SERIKALI WATIA SAINI MRADI WA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing (kushoto), Afisa utawala...
View ArticleJERRY MURO APIGWA FAINI MILIONI 5
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa...
View ArticleMamilioni ya Kopa Bayport yazidi kupata wenyewe
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, katikati akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya...
View ArticleTIMU TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC
Timu Tanzania ikipata picha ya pamoja kabla ya kuanza matembezi ya saratani ya matiti ya Susan G. Komen yaliyofanyika Washington, DC siku ya Jumamosi May 9, 2015.Wanusurika wa saratani ya matiti...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE RASMI NCHINI ALGERIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na akifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya...
View ArticleMZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na...
View Article