Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO.

Majira ya saa moja asubuhi katika kituo cha Mandara ikiwa ni siku ya pili ya safari ya Mabalozi kupanda Mlima Kilimanjaro maandalizi ya muendelezo wa safari hiyo yanaanza.Balozi wa Tanzania katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE, RIDHIWANI KIKWETE AANZA ZIARA YA KIKAZI KATIKA VIJIJI 40...

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikagua vyumba vya madarasa vya Shule ya Msingi Kibindu, wilayani Bagamoyo, Pwani vilivyobmoka na kuezuliwa paa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Zanzibar Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Amani- Mtoni kwa awamu ya pili ya ujenzi wake katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO...

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI, YAWAANDALIA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI PARTY...

Wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, wakiwa wamejumuika katika sherehe ya kupongezana kwa mafanikio waliyoyapata katika mwaka ulioisha wa 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Sherehe hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDIO YA JAMII MKOANI YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE ZA MAPINDUZI

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (mwenye koti la suti) akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI...

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega kabla ya kuanza ziara katika wilaya hiyo ili kujionea utekelezaji wa miradi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa mkoa wa Tanga kwenye uwanja wa Tangamano ambapo alitoa salaam za mwaka huuambapo alisema CCM mwaka huu itaweka mkazo kwenye maadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano ya Bongo Celebrity na...

 Sune MushendwaKwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE APONGEZA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamillius Membe akizindua sherehe ya miaka 50 ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wastara: sifaidiki na kazi za Sajuki

Msanii wa filamu Wastara Juma, ambaye ni mjane wa aliyekuwa staa wa filamu mahiri nchini, Marehemu Sajuki Juma Kilowoko, ameweka wazi kuwa baada ya kufariki kwa mumewe, hakuna manufaa yoyote ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BFT kuchagua vijana 15 timu ya Taifa ya Ngumi

SHIRIKISHO la ngumi za Ridhaa Nchini BFT limesema limekamilisha zoezi zima la kutafuta vijana watakaoweza kuunda timu ya Taifa itakayoweza kushiriki mashindano mbalimbali ya Kitaifa na ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UBABE KWENYE UKEKETAJI.

Mratibu wa kituo cha TFGM na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Catherine Laboure ya Kijiji cha Masanga kilichopo wilayani Tarime mkoani Mara, Thomas Maruga akiwatembeza maeneo mbalimbali ya shule hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Theluji (Snow) yanguka katika maeneo ya DMV -Marekani

Na Abou Shatry DMV Kama vile matangazo ya hali ya hewa yalivyo tolewa mwazoni mwa wiki hii na National Weather Service, katika maeneo mbali mbali ya hapa DMV kwamba  hali ya hewa itazidi kuwa baridi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA MRADI MKUBWA WA REA WA SHILINGI BILIONI...

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Erasto Sima akizungumza na wanakijiji wa Nyanguge wilayani Bariadi juu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme iliyowekwa na REA. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. BILAL AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, wakiwa katika Sala na Dua ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA NISHATI WAKUTANA KUJADILI MWENENDO WA BEI ZA MAFUTA KATIKA SOKO LA...

Bw. Allan William mtaalamu wa sekta za kibenki nchini, akizungumza katika mhadhara na Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juu ya Mwenendo wa bei za mafuta duniani  na athari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAOMBA KITUO MAALUMU CHA WATOTO WALEMAVU BUHANGIJA KUSAIDIWA ZAHANATI

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA EDUCATION COLLEGE YAJIPANGA KWA SURPRISE KIBAO MSIMU WA 2015

TANZANIA EDUCATION COLLEGE....Jiandae kwa msimu mpya wa 2015 wenye suprises kibao!!Karibu chuoni kwetu kwa ajili ya kujifunza kozi mbalimbali katika ngazi ya Certificate pia Diploma zikiwemo...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live