Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIKI NGUMU KWA BUNGE MAALUM LA KATIBA

WIKI hii ni kati ya wiki ngumu zilizowahi kulikumba Bunge Maalum la Katiba lililoanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.Wakati Bunge linaanza mwanzoni mwa mwaka huu, wajumbe walitumia muda mwingi kujadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWEINGOMA WAAHIDI UHONDO WA NGOMA YA SELO TAMASHA LA HANDENI KWETU 2014

Na Mwandishi Wetu, HANDENIKIKUNDI cha ngoma cha selo kilichopo katika kijiji cha Kweingoma, wilayani Handeni, mkoani Tanga, kimesema kimepania vikali Desemba 13 mwaka huu kufanya balaa katika tamasha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNDI LA WAMAREKANI WAJA NCHINI KUTIZAMA FURSA ZA UWEKEZAJI

Baadhi ya Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji.Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Washington DC,Suleiman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIDE BOY HATUNAE TENA

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama 'Kua uone', 'Usimdharau usiyemjua', Kwa mujibu wa mdogo wake Ally Khamis, anasema Kaka yao marehemu Said Salum Hemedy "Side Boy" amefariki dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO DUME NA MAWAZO MGANDO: KIKWAZO USHIRIKI WA MWANAMKE KATIKA UONGOZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio, Nuru Kalufya akisimamia usajili wa washiriki wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika Habari za Migogoro yaliyoanza katika kijiji cha Uvinza, wilaya ya Uvinza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA KINANA WASAFIRI KWA BAISKELI MILIMA YA USAMBARA KWENDA MKINGA,TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi, waandishi wa habari pamoja na wananchi wakiendesha baiskeli kwenda Kata ya Mg'aro katika mteremko wa milima ya Usambara, akitokea Lushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Entebbe na Bujumbura inakaribisha safari za ndege za uzinduzi za flydubai

Ndege za shirika la ndege la flydubai lililo na makao yake Dubai zilizozindua safari za kuenda Entebbe na Bujunbura zilitua leo na zilikaribishwa kitamaduni na saluti za mizinga ya maji na waakilishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada  wakifungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR APIGA KURA YA WAZI YA HAPANA, ATOLEWA NJE KWA...

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amepiga kura ya wazi na amepiga hapana kwa sura na vifungu kadhaa, na vyengine amevikubali. Baadae mjumbe mmoja ameomba nafasi ya kutoa taatifa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YES TANZANIA YAFUNGUA DARASA LA MATEJA

Katibu wa Shirika la YES Tanzania Lusajo Mwamakura akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya mara baada ya kuanza kutolewa elimu kwa vijana hao ambao wengi wao wanatoka katikati ya mji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".

Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa, leo muda mfupi uliopita Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud baada ya kupiga kura ya wazi ya Hapana kuhusu katiba amekamatwa na watu wa idara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALADALA YA KCMC YAPARAMIA KEEP LEFT YA YMCA-MOSHI

Gari aina ya Toyota Hiece linalofanya safari yake kati ya KCMC na katikati ya mji likiwa katika bustani ya mzungko wa YMCA baada ya kupitiliza toka barabarani. Sehemu ya uharibifu uliofanyika baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA REDIO JAMII UVINZA: MKUU WA MKOA AHIMIZA WELEDI, UADILIFU NA AMANI

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RHAPOSDY'S @ VIVA TOWER IS THE ONLY PLACE TO BE THIS SATURDAY!

<Mdau Amo Blaze aliyewahi kufanya kazi na EAST AFRICA RADIO kama DJ miaka ileeeee anaomba msaada tafadhali.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZALENDO KWANZA: PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAKWEA PIPA KUTUMBUIZA OMAN, YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE DAR

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DSTV TANZANIA YAZINDUA KIFURUSHI KIPYA

Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduziwa kifurushi kipya cha DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA UNFPA, TUSHIKAME PAMOJA FOUNDATION NA PROJECKT INSPIRE...

Daktari kijana Brian Mushi wa Projeckt Inspire akionyesha upendo kwa mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kilichopo Msimbazi Centre mara baada ya kumpima Presha wakati wa maadhimisho ya siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Philips announces collaboration with PowerFree Education Technology (PET) to...

⁻       Partnership aimed at addressing the high rates of preventable infant mortality across Africa⁻      Philips unveils power-independent wind-up fetal Doppler; a clinical innovation that addresses...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI LA KIMATAIFA JAMBO FESTIVAL KUFANYIKA JIJINI...

Wasanii wa muziki wa asili wakitoa burudani katika tamasha la Jambo festival.Mwenyekitiwa Tamasha la sanaa na utamaduni Arusha  maarufu kama JamboFerstival   Augustine Michael NamfuaJiji la Arusha...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live