Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CFAO MOTORS WAWEZESHA WAPENZI WA FORMULA ONE DAR KUONA GEMU

Kukiwa na wanawake warembo katika magari yanayomeremeta, waliovikwa na nguli wa mavazi Ally Rhemtulla kwa ajili ya kupokea wageni kwenye hafla ya kuona mashindano ya magari ya Formula One iliyoandaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA 'HANDENI KWETU LAPANIA KUVUNJA REKODI YA 2013

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAMMRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

TAMASHA KA FIESTA 2014 LASAMBAZA UPENDO WAKUTOSHA KWA WAKAZI WA MUSOMAWasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA...

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS TO...

The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez has officially presented his credentials to the Government. The Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA...

Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine uliopo mkoani Geita. Mgodi huu ni moja ya makampuni yanayowania tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji.Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA...

 Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa akiwahutubia Wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam. Baadhi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANCIS KUPUNGUZA MUDA NA KUIONGEZEA MAPATO SERIKALI

Mkurugenzi Mkazi wa ASASI isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yaekob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGIMWA ACHANGIA BATI 100 UJENZI WA SHULE YA MSINGI LUKWAMBE NA ZAHANATI YA...

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr  Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Umoja wa katiba ya wananchi nchini Tanzania-UKAWA- uliolisusia Bunge maalum la katiba tokea mwezi Aprili, leo ulikuwa na mkutano na waandishi habari .Madhumuni ya mkutano huo ni kueleza msimamo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAUNCH OF CERTIFIED APPRENTICESHIP PROGRAM IN HOTEL OPERATION

Representatives from ILO, TUCTA, ATE and HAT in a group photo with the apprentices during the launch of the programme held in Dar es Salaam on 5TH AUGUST 2014.The launch was coupled with the signing of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK, UKAWA WAMTIA KITANZI SITTA

UAMUZI uliofikiwa na viongozi wa vyama vya siasa na Rais Jakaya Kikwete umemweka katika wakati mgumu Mwenyeki wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuahirisha au la vikao vya Bunge hilo.Hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IPTL YAMSHITAKI ZITTO KABWE

KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 24 WA MWAKA WA WANACHAMA NA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF...

Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS!!!..PISTORIUS HAKUKUSUDIA KUUA

Pistorius amekana kumuua mpenzi wake kwa makusudiJaji anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius, amesema upande wa mashitaka umekosa kuthibitishia kikamilifu shitaka kuu la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANITE YAING'ARISHA TANZANIA KIMATAIFA.

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI 7 ZITAKAZOAMUA HATMA YA ARSENAL MBIO ZA UBINGWA MSIMU HUU HIZI HAPA!

Arsenal, ambao Msimu huu wamejizatiti kuwania Mataji hasa baada ya Msimu uliopita kubeba FA CUP likiwa Kombe lao la kwanza tangu 2005, wanakabiliwa na Mechi 7 mfululizo zijazo ambazo zitaamua Msimu huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIEGO COSTA, CESC FABREGAS NA JOSE MOURINHO USO KWA USO TUZO YA MWANASOKA...

WADHAMINI wa Ligi Kuu England wametangaza Listi ya Wagombea wa Tuzo za Mwezi za Meneja Bora na Mchezaji Bora na miongoni mwao ni Jose Mourinho, Meneja wa Chelsea, huku Wachezaji wake Diego Costa na...

View Article
Browsing all 1649 articles
Browse latest View live