DROGBA ATUA DARAJANI NA KUSAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA
Drogba baada ya kurejea kundini.Didier Drogba wakati akifanyiwa vipimo (kushoto). Kulia akisaini mkataba wa mwaka mmoja Chelsea.Jembe ndani ya Stamford Bridge.STRAIKA wa Ivory Coast, Didier Drogba...
View ArticleALPHONCE FELIX WA TANZANIA AJITOA MADOLA
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu amelazimika kujitoa katika mashindano ya Commonwealth Games yanayoendelea mjini Glasgow Scotland baada ya vipimo kuonyesha kwamba ana jeraha katika mguu...
View ArticleBREAKING NEWS : BASI LA HOOD LAPATA AJALI MBAYA ASUBUHI HII LIKITOKEA MBEYA
Muda mchache baada ajali kutokea Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii likitoka Mbeya...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:::MANISPAA YA KINONDONI YAWAFUKUZA WATUMISHI...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA AFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa...
View ArticleMTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI...
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi boksi la vyombo na zawadi ya sh. 10,000 mmoja wa viongozi 912 wa matawi wa ya CCM na jumuiya zake wa jimbo hilo, katika hafla ya kutoa mkono...
View ArticleWANAHABARI ,WADAU WA MICHEZO WAJITOKEZA KUHANI MSIBA WA MPIGANAJI HENRY LYIMO...
Baadhi ya waamuzi waliofanya kazi ya Uamuzi na Marehemu Henry Lyimo (KIPESE),Nathan Lazaro na Vitaris wakiwa nyumbani kwao na Marehemu kuhani msiba.Kocha Hamad Haule ambaye amekuwa karibu sana na...
View ArticleEID MUBARRAK WDAU WOTE WA MTANDAO HUU
Eid Mubarrak!, Mmiliki wa mtandao wa Kijiwe chetu Blog, ndugu Fadhili Athumani, anapenda kuwatakia waislamu wote heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri.Tunaungana nanyi kati siku hii muhimu katika kalenda ya...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MPIGANAJI HAFIDH HENRY LYIMO (KIPESE).
Mwili wa Marehemu Hafidh Henry Lyimo (Kipese) ukitolewa katika hospitali ya rufaa ya KCMC (Mortuary) tayary kwa maziko.
View ArticleEID EL FITR YASWALIWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KITAIFA JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar...
View ArticleHIVI NDIVYO BEN PAUL NA IZO BUSINESS WALIVYOPAMBA UZINDUZI WA KAMPENI YA...
Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumba akitoka kukagua jukwaa lenye hadhi ya kimataifa la Ebony FM kwenye uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio uliofanyika jana kwenye viunga vya Samora...
View ArticleKAMA HUKUBAHATIKA KUSOMA TAMKO LA JUKWAA LA KATIBA KUHUSU BUNGE MAALUM LA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza...
View Articlewaislamu watakiwa kusherekea eid el fitri pamoja na waumini wa dini nyingine
Waumini wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa kwenye ibada ya swala ya Iddy el Fitry kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha. Sheikh wa mkoa wa...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony...
View ArticleHOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE...
Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera...
View ArticleBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA...
Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band...
View ArticleMAKOCHA WA BARCELONA WATOA MAFUNZO KWA MAKOCHA DAR.
Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza jana kwenye uwanja wa Karume jijini Dare salaam ikiwa ni sehemu ya mafuzo hayo ya siku mbili...
View ArticleMAKOCHA BARCELONA WAPATA DINNER NA WADAU WA MICHEZO DAR ES SALAAM.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle...
View ArticleCHIKU GALLAWA MGENI RASMI HANDENI KWETU FOAUNDATION
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAMMKUU wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa taasisi ya Handeni Kwetu Foundation, utakaofanyika Jumanne ya Agosti 5, katika...
View Article