Quantcast
Channel: Kijiwe chetu blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

CHID BENZ ARUDISHWA RUMANDE HADI NOVEMBA 11

$
0
0

Msanii Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni
1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya
Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo ataletwa tena kizimbani.
Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoeleweka na pesa taslimu milioni 1.
#FAHAMU CHID BENZ ARUDISHWA RUMANDE HADI NOVEMBA 11  Msanii Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni   1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa 2. Kusafirisha madawa ya kulevya 3. Utumiaji wa madawa ya kulevya  Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo ataletwa tena kizimbani.  Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoeleweka na pesa taslimu milioni 1.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1649

Trending Articles