![]() |
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015. |
![]() |
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015. |
![]() |
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015 |