Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara ,Janeth Mbena akizungumza na mmoja wa wafanyakazi katika kiwanda cha Sunfrag cha jijini Arusha ,wakati wa ziara yake kutembelea viwanda mbalimbali vilivyoko mikoa ya kanda ya kaskazini. |
Mkurugenzi wa kiwanda cha Monaban Industry Limited, Philemon Mollel, akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene, sehemu ya Shehena ya nafaka inayozalishwa na kiwanda hicho. |